Boxer za kiume mzigo mpya umewasili

Boxer za kiume mzigo mpya umewasili

Hizi zinatoka uturuki kabisa ndugu kuna ndugu yupo kule anatuma mzigo ndo tunasambaza kaka bado ofisi maalumu
Kama ni za uturuki basi samahani mkuu, mimi nilidhani ni zile za made from china, lakini hata hivyo bei hiyo bado ni kubwa kwa nguo ya ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom