Nimekuuliza kitu huko private kama ulivyoelekeza toka jana hujajibu, sijui private gani ulioandika tukucheki?PURE BOXER ,PURE COTTON KUTOKA UTURUKI MZIGO MPYA UMEWASILI BEI ELFU 6500 TU KWA REJA REJA JUMLA NICHEKI PRIVATE WA DSM TUNAFIKISHA ULIPO MKOANI TUNATUMA , BOXER SAFI KABISA
Jamani niwape siri, hizi nguo nguo na vitu vinginevyo vidogo vidogo wazungu wote wananunua China, India, na kwingineko labda na Turkey, Egypt nk nk, hivyo ukikutana na yenye nembo made in US au UK au Germany basi hizo fake wanataka kuwala hela zenu maana wanajua mnashobokea vitu vya Europe. Nilishawahi uziwa socket za umeme naambiwa zinatoka UK wakati mie nilikuwa UK sijawahi sikia hata hilo jina la kampuni na nikajaribu kugoogle hapakuwa na kampuni au vifaa vya umeme yenye jina lile online.me nataka za Germany vipi ntapata, Uturuki Miyeyusho.
Mkuu. hivi boxer zenye nembo ya kelvin clain wanazozivaaga na kuzitangaza fame people e.g Obama+Justin bieber+David beckham+Drake zinatengenezwa wapi vile???Jamani niwape siri, hizi nguo nguo na vitu vinginevyo vidogo vidogo wazungu wote wananunua China, India, na kwingineko labda na Turkey, Egypt nk nk, hivyo ukikutana na yenye nembo made in US au UK au Germany basi hizo fake wanataka kuwala hela zenu maana wanajua mnashobokea vitu vya Europe. Nilishawahi uziwa socket za umeme naambiwa zinatoka UK wakati mie nilikuwa UK sijawahi sikia hata hilo jina la kampuni na nikajaribu kugoogle hapakuwa na kampuni au vifaa vya umeme yenye jina lile online.
Mkuu. hivi boxer zenye nembo ya kelvin clain wanazozivaaga na kuzitangaza fame people e.g Obama+Justin bieber+David beckham+Drake zinatengenezwa wapi vile???
Jamani niwape siri, hizi nguo nguo na vitu vinginevyo vidogo vidogo wazungu wote wananunua China, India, na kwingineko labda na Turkey, Egypt nk nk, hivyo ukikutana na yenye nembo made in US au UK au Germany basi hizo fake wanataka kuwala hela zenu maana wanajua mnashobokea vitu vya Europe. Nilishawahi uziwa socket za umeme naambiwa zinatoka UK wakati mie nilikuwa UK sijawahi sikia hata hilo jina la kampuni na nikajaribu kugoogle hapakuwa na kampuni au vifaa vya umeme yenye jina lile online.
Mkuu. hivi boxer zenye nembo ya kelvin clain wanazozivaaga na kuzitangaza fame people e.g Obama+Justin bieber+David beckham+Drake zinatengenezwa wapi vile???
Acha ushamba wewe unahaibu biashara ya watu ili iweje? kwa taarifa yak huyo jamaa nishafanya nae biashara hizo boxer ni pure cotton nzito sna tofaut na zile za kkoo zinazouzwa buk 4 nne ukifua mara moja tu kwisha habari....Jamani niwape siri, hizi nguo nguo na vitu vinginevyo vidogo vidogo wazungu wote wananunua China, India, na kwingineko labda na Turkey, Egypt nk nk, hivyo ukikutana na yenye nembo made in US au UK au Germany basi hizo fake wanataka kuwala hela zenu maana wanajua mnashobokea vitu vya Europe. Nilishawahi uziwa socket za umeme naambiwa zinatoka UK wakati mie nilikuwa UK sijawahi sikia hata hilo jina la kampuni na nikajaribu kugoogle hapakuwa na kampuni au vifaa vya umeme yenye jina lile online.
Kariakoo wakikulalia sana buku 5Hizi zinatoka uturuki kabisa ndugu kuna ndugu yupo kule anatuma mzigo ndo tunasambaza kaka bado ofisi maalumu
Made in China, USA hawana viwanda vya textile na kama hauniamini niambie kimoja unachokijua na kipo wapi???Mkuu. hivi boxer zenye nembo ya kelvin clain wanazozivaaga na kuzitangaza fame people e.g Obama+Justin bieber+David beckham+Drake zinatengenezwa wapi vile???