Boxer 150 zinauzwa bei poa singida

Boxer 150 zinauzwa bei poa singida

Joined
Jan 23, 2014
Posts
24
Reaction score
7
Duka kbwa la pkpk maarf kam WILLIUS MOTOR SELLERS llilopo sngda mjn eneo la jinery linauza pkpk bei poa
simu:0719551026
 
BEi yako wauzie watu wa Singida wasiopenda kwenda Dar
 
Duka kbwa la pkpk maarf kam WILLIUS MOTOR SELLERS llilopo sngda mjn eneo la jinery linauza pkpk bei poa
simu:0719551026
Kha, mimi nilifikiri unauza Boxer underpants kwa 2m! Kumbe pikipiki. Kweli sisi wa Tandahimba bado sana.
 
Wenzio dar wanauza 1.8m we bado unauza bei za mwakajana

Ndugu yangu habari za wakati? Sorry naweza pata mawasiliano ya Duka linalo uza Hizo piki piki kwa bei ulio itaja. Au duka hilo linapatikana wapi hapa Dar.
 
Ndugu yangu habari za wakati? Sorry naweza pata mawasiliano ya Duka linalo uza Hizo piki piki kwa bei ulio itaja. Au duka hilo linapatikana wapi hapa Dar.

ayo mambo tuache kudanganya watu hakuna duka dar linalo uza pkpk boxer kwa 1.8 iyo ni bei ya pkpk yakichina sanlg mkuu nasio boxer
 
Duka kbwa la pkpk maarf kam WILLIUS MOTOR SELLERS llilopo sngda mjn eneo la jinery linauza pkpk bei poa
simu:0719551026

Bei poa? hizo sio za wizi kweli? anyways inabidi iundwe tume kuwachunguza, mmepata wapi huo mtaji wa kuwa na boxer 150.. NAWAZA KIJAMAA
 
Agent zipo

mkuu hakuna agent anaye uza pkpk 1 kwa mill1.8 hizi zilizo pigwa collabo china na mwindi bado hazi uzwi mill1.8 sembuse boxer original tuache kudanganya watu bajaji company wenyewe hawauzi bei hiyo
 
Watu wengine wanajua bei za kuhadithiana vijiweni tu unaweza kuta hata huko dukani hajakanyaga
 
Ww ujatembea kunajamaa yangu ana jua ww si uko banda au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom