Boxer 150 / XL 250 inaitajika (most wanted)

Boxer 150 / XL 250 inaitajika (most wanted)

wakiwandani

New Member
Joined
Nov 13, 2020
Posts
3
Reaction score
1
Wana jf napenda kuwatangazia kwamba nahitaji kununua pikipiki aina ya Boxer 150 / XL 250. Hivyo kama kuna mtu anauza pikipiki yake naomba tuwasiliane.
Bajeti yangu ni Tshs 548,590/=

Nb
= vielelezo vya uhalali wa umiliki vitaitajika kuwepo wakati wa mauziano
= Ingine isiwe na dosari

Mawasiliano
Njoo pm kwa mawasiliano zaidi.
All the best.
 
Unatania.. Boxer 150 iko mbali,leo 2,800,000, soon itasoma 3m kwa jinsi inflation inavyokwenda
 
Bei ni maelewano hiyo ni ya kuanzia naweza kuongeza zaidi ya hapo bidhaa ikipa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom