uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
Waziri wa mambo ya nje wa lebanon amenwomba waziri wa diplomasia wa ufaransa kuwasihi israeli isiitandike lebanon
Upande wa nchi wa lebanon umekuwa kimbilio kwa magaidi yenye asili ya palestine ambao wakiwa lebanon hujifungamanisha na chama cha kigaidi cha hezbollah
Kutokana na magaidi ya hezbollah kushambulia israeli kwa kuvizia serkali ya lebanon inahofu huwenda nao wakageuzwa majivu km Gaza ilivyofanywa
Kupitia ziara ya waziri wa ufaransa ameiomba kufikisha ujumbe kwa Israel kuepuka kuishambulia lebanon
Credits Reuters
..
Hapa kuna la kujifunza
Lebanon ilikuwa nchi ya wakristo safi ila kutokana na migogoro wakristo wengi waliuawawa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe
Wasuni waliungana na magaidi ya kipalestina kuwaumiza wakristo
Wakristo wengi walikimbia nchi na kuhamia ulaya na USA h
Inakadiriwa kwa sasa wakristo ni 30% tu huku 70% wakiwa wale jamaa