Chief Kabikula JF-Expert Member Jan 1, 2019 7,567 9,026 Jun 10, 2019 #21 Jiwe naye atafuata mkumbo tu maana ,kipindi kile alikuwa anatafuta sababu.
W Wakudadavuwa JF-Expert Member Feb 17, 2016 17,506 15,997 Jun 10, 2019 Thread starter #22 jani said: haha...wakenya kiboko...wanaiba wanalimbikiza mpaka sirikali inatikisika......ila ku na kauwezekano pia kenyata naye akawa anataka kuweka ka uso kake kwenye noti...naye ajipongeze kwa kazi nzito ya kuongoza taifa gumu...lenye nyang'au Click to expand... Dah
jani said: haha...wakenya kiboko...wanaiba wanalimbikiza mpaka sirikali inatikisika......ila ku na kauwezekano pia kenyata naye akawa anataka kuweka ka uso kake kwenye noti...naye ajipongeze kwa kazi nzito ya kuongoza taifa gumu...lenye nyang'au Click to expand... Dah
P pye Chang shen JF-Expert Member Jul 11, 2016 11,038 5,259 Jun 11, 2019 #23 Hata sijaelewa lengo nini