BoT watangaza nafasi za kazi

BoT watangaza nafasi za kazi

Ngoja nitest zali, kuna post nna qualification. Mungu nisaidie
 
Mungu Yu Nasi Na Akinijalia Tu Kupata Chance Hiyo Ni kupiga Kazi Kwa Kwenda Mbele Ndipo Watakapojua Kuna Watu Ni Wachapa Kazi Waadilifu ila hawakupata Bahati.
 
wakuu mwenye uwezo wa simu, atusaidie kutuwekea hapa janvin...maana ninasimu ya mchina hapa, siwezi kutazama tangazo. Asanteni
 
Msijisumbue kuomba kazi huko kwani wamekwisha panga majina ya watoto wao ndio watakaoajiliwa; inakuwa rahisi sasa kwani Ndullu anakashfa ya ESCROW hivyo ni lazima ajihami kwa kuwaajili watoto wa vigogo ama sivyo watamtosa kutokana na hii kashfa!!

Kama walikuwa na nia ya dhati ya kuajili na sio kuwapiga watu changa la macho kwanini wasiwaite wale walioomba mwaka jana lakini hawakuwachua ingawa walikidhi vigezo vyao.?
 
mkuu mbona madesaaaa tangazo na heading yako tofauti kabisa.utumisi wa umaa umeita watu kwenye usaili wapi wamesema b o t tunajazana pumbaa
 
Back
Top Bottom