BOT waanza kuita interview

mm nina gpa kubwa karibia na mwisho wa scale za gpa kwa juu kwenye vyuo vikuu, nina uzoefu kwa kufanya kazi bank miaka kama8 ila naona kimya!!!!! wanataka gpa gani iyo?na zaidi uzoefu wa bank ninao, je wamepigia watu wenye sifa za cream gani iyo????
 
Jaman kwa aliyepgiwa wametumia namba gani mie kuna namba leo nimekuta miss kol siielew kabsa emu nsaidien iyo namba land line au ya mkononi pia namba 3 za mwisho.
 
mm nina gpa kubwa karibia na mwisho wa scale za gpa kwa juu kwenye vyuo vikuu, nina uzoefu kwa kufanya kazi bank miaka kama8 ila naona kimya!!!!! wanataka gpa gani iyo?na zaidi uzoefu wa bank ninao, je wamepigia watu wenye sifa za cream gani iyo????

Acha tamaa,tulia kazini..
 
wengine vyeti vyenu havijapitia kwa mwanasheria ili viwe certified as a true copy of the original
 
Jaman mimi sina MBA but niliitwa (bank examiner) but paper ilikuwa balaaaaaaaaaa sana.
Ilikuwa inahita umakin kujibu mtihan ule.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…