hi, kwa wale ambao tulifanya aptitude test bot mwezi wa 11 kazi za bot branch ya mtwara. Naomba kuuliza kuna ambao wameitwa kwenye selection interview? au bado watu hawajaitwa?