BOT na pesa mpya vipi?


Duh,Mkuu hii mpya.Lakini ulishawahi kusikia kuhusu shillingi mia za sarafu zilivyokuwa zinaghushiwa?
 

Kwa vigezo vipi mkuu?Watu wamekuonesha matatizo ya hizo noti wewe bado unakomaa ni bora,mbona hawaziondoi kwenye mzumnguko zile za zamani kama walivyoahidi ili zibaki hizo mpya tu?Inawezekana upo ughaibuni na haujawahi kuzishika hizi noti.
 
Kibaya zaidi hata mkuu wa nchi walimdanganya akaishia kushangaa mirangi ya kun'gaa bila ya kutambua si kila king'aacho ni dhahabu. Yaani fedha ni za kichovu mno hazina ubora....kwa nchi makini lazima mtu ang'oke.
 
Tumsubiri Beatrice Shelukindo aje na hili pia hapo Bungeni kabla ya Ijumaa 26th August 2011
 
Kwani lazima tutumie mpya! Wangeziacha hizo hzo za zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…