Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Hii ndo tz kila kitu kinawezeka ndugu!mnada wanafanyikia kwenye BOT?............................................................KWANINI?
Kila kilicho kinyume na sheria za nchi yetu ilimradi nikione kwa macho au nisikia na kuthibitisha lazima ni uhabarishe umma wa watanzania wote!Za motomoto kutoka jikoni...JB, I salute you!
Sio vya bot ila jamaa wanafanya kazi ya kukodisha zile paking siku za weekendMkuu nidhani unamaanisha huu: http://www.bot-tz.org/FinancialMarkets/TBonds/Repos/RepoAuctionSummary.asp?AuctNo=1643
Hayo magari na vijiko ni mali ya BOT?
watu km nyie mnahtajika sana hm jf. Hongera snKila kilicho kinyume na sheria za nchi yetu ilimradi nikione kwa macho au nisikia na kuthibitisha lazima ni uhabarishe umma wa watanzania wote!
Sio vya bot ila jamaa wanafanya kazi ya kukodisha zile paking siku za weekend
Hata mimi nilistuka hivyohivyo baada ya kusikia matangazo kupitia spika kubwa ndani ya paking hizo ndipo nika amua kuingia tena unaingilia huku geti la bot kabisa!JB Umekosea, hukufanya uchunguzi wako vizuri. Ungenunua hata kijiko uone risiti unayopewa ni ya kampuni gani. Nasikitika kukwambia kuwa, umepotosha JAMVI. Zile parking haziwezi kamwe kukodishwa kwa ajilli ya shughuli kama hizo.
Updates:
Nilichobaini baada ya mchakato wa masaa mawili wa kujua uhusiano wa mali zinazo nadiwa na bot nimegundua kuwa ni mali za serikali nyingi zimeandikwa namba za vitengo vya wizara!
Nimebahatika kuongea na watu wawili ambao ni wafanyakazi wa bot na wizara ya fedha wamenithibitishia kuwa ni mali za wizara zilizotumika, nikawauliza kuwa je huo ndio utaratibu wa wizara kuuzia kwenye kwenye paking wakasema wao si wasemaji ila wapo kwa uangalizi tu!
Chaajabu baadhi ya namba za kwenye bidhaa hizo zimefutwa na magari yana no za kiraia!
Hata aina ya uuzaji ni kama kugawana maana watu si wengi na wanatoa taarifa za uongo ukijaribu kuzungumza nao!
Ndugu ushaambiwa huo ni wizi mpya wa siku za weekend unaofanywa na vigogo wa wizaraHuo mnada wa zana za serikali ulitangazwa wapi?
Ndugu ushaambiwa huo ni wizi mpya wa siku za weekend unaofanywa na vigogo wa wizara