Bosi wa CIA akutana na Kim Jong- un!

Bosi wa CIA akutana na Kim Jong- un!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Kwa nini Mkorea anakuwa respected namna hii, USA pmj na ubabe wake wote lkn bado anamrespect ,,dictator” wa Korea, sssa Top spy wa USA Pompeo tayari amekutana na Kim kwa siri kubwa kutayarisha mkutano wake na Trump.

Kwa nini sisi Waafrika Muzungu hatuheshimu pmj na kujikomba kooote?

AP-Ahn-young-joon.jpg
 
Hayo ya korea hayatuhusu habari ya mjini ni kupigwa 1.5 trillion na fisadi nyangumi anaechukia ufisadi,mwambie mzilankende arudishe pesa zetu haraka.
Ccm majizi yamekalia kuiba tu
 
Kwa nini Mkorea anakuwa respected namna hii, USA pmj na ubabe wake wote lkn bado anamrespect ,,dictator” wa Korea, sssa Top spy wa USA Pompeo tayari amekutana na Kim kwa siri kubwa kutayarisha mkutano wake na Trump.

Kwa nini sisi Waafrika Muzungu hatuheshimu pmj na kujikomba kooote?
Sasa heshima ipi ungeniambia hata Sec. Of states kumbe CIA director huyo sikama kipilimba tu hahahah
 
Kwa nini Mkorea anakuwa respected namna hii, USA pmj na ubabe wake wote lkn bado anamrespect ,,dictator” wa Korea, sssa Top spy wa USA Pompeo tayari amekutana na Kim kwa siri kubwa kutayarisha mkutano wake na Trump.

Kwa nini sisi Waafrika Muzungu hatuheshimu pmj na kujikomba kooote?
Alafu wakorea walivyokuwa wa ajabu unaweza kuta hajaonana na kim mwenyewe. Kaonana na wengine wanaofanana na kim. Kuna kim wengi kweli. kumpata kim mwenyewe ni ishu kubwa
 
Habari imeandikwa kiudakuudaku kama kile kigazeti cheni cha musiba sijui jamvi la wadaku...source lumumba au? sasa mtu anaenda andaa mazingira ya rais wake kufanya meeting ulitaka wakutume weye
 
Naelewa tumeibiwa 1.5 trillion mwambie mwenyekiti wako arudishe pesa za watanzania
ahahahaha du, povu hilo mkuu. Vumilia tu. maisha ndivyo yalivyo. na wewe jitahidi ugommbee hata uenyekiti wa mtaa upige vijicent
 
Wamekutana kwa siri kubwa hivyo ni wachache kama mimi tunaojua!
eh eh buraza ukute weye ndo upo kwe kamati ya kumchafua raisi wetu na zile african prestigious award za uongo..hiki sio kipindi cha nyerere bana TV ipo ikulu tu ,/...kuna gugo
 
Kwa nini Mkorea anakuwa respected namna hii, USA pmj na ubabe wake wote lkn bado anamrespect ,,dictator” wa Korea, sssa Top spy wa USA Pompeo tayari amekutana na Kim kwa siri kubwa kutayarisha mkutano wake na Trump.

Kwa nini sisi Waafrika Muzungu hatuheshimu pmj na kujikomba kooote?
Wanamwogopa jamaa.
 
KAMA IMEKUFIKIA MPAKA WEWE BADO UNAITA NI SIRI??
 
Back
Top Bottom