Kama anayo kweli angeyatumia kushambulia Crimea, Donbas na Luhansk. Naamini akipatiwa hizo silaha atazitumia bila woga wowote. Ila Ukraine imetoa funzo kubwa sana, nchi ikiwa na jirani asiyeeleweka kama Urusi, ni vyema kuandaa silaha za kutosha. Ukraine ni kama hakuwahi kufikiria angeweza kuvamiwa kwa namna hii na Urusi.Siamini km Ukraine hana hayo makombora ya kufika Russia hila anajua yakishafika huko Russian kipigo atakachopigwa kitakuwa kikubwa zaidi maana haya mashambulizi ya sasa hv ni ya kistaarabu sn sio km Yale wanayofanyaga USA na NATO wakipiga kombora watu 100 wanaua hila Russia yy anapiga makambi tu
Anazo za kutosha! Ila ukweli anajua kitakachotokea!Siamini km Ukraine hana hayo makombora ya kufika Russia hila anajua yakishafika huko Russian kipigo atakachopigwa kitakuwa kikubwa zaidi maana haya mashambulizi ya sasa hv ni ya kistaarabu sn sio km Yale wanayofanyaga USA na NATO wakipiga kombora watu 100 wanaua hila Russia yy anapiga makambi tu
Hata zile neptunes alizodondoshea Moskva zilikuwa ni zinaenda km chache tu. Ukraine hana zile mashine za masafa marefu.Kama anayo kweli angeyatumia kushambulia Crimea, Donbas na Luhansk. Naamini akipatiwa hizo silaha atazitumia bila woga wowote. Ila Ukraine imetoa funzo kubwa sana, nchi ikiwa na jirani asiyeeleweka kama Urusi, ni vyema kuandaa silaha za kutosha. Ukraine ni kama hakuwahi kufikiria angeweza kuvamiwa kwa namna hii na Urusi.
Unadhani silaha ni za kuokota kuwa ukizitaka unazipata tu?Kama anayo kweli angeyatumia kushambulia Crimea, Donbas na Luhansk. Naamini akipatiwa hizo silaha atazitumia bila woga wowote. Ila Ukraine imetoa funzo kubwa sana, nchi ikiwa na jirani asiyeeleweka kama Urusi, ni vyema kuandaa silaha za kutosha. Ukraine ni kama hakuwahi kufikiria angeweza kuvamiwa kwa namna hii na Urusi.
Utakuwa na Akili Pungufu sio bure. Miji yote ambayo imetekwa na Urusi hasa Mariupol imeharibiwa kabisa kwa Makombora ya Urusi. Zaidi ya 60% ya Majengo ya mji huo yameharibiwa kiasi Cha kutoweza kufanyiwa ukarabati. Je,hayo ndio mashambulizi ya Busara?Siamini km Ukraine hana hayo makombora ya kufika Russia hila anajua yakishafika huko Russian kipigo atakachopigwa kitakuwa kikubwa zaidi maana haya mashambulizi ya sasa hv ni ya kistaarabu sn sio km Yale wanayofanyaga USA na NATO wakipiga kombora watu 100 wanaua hila Russia yy anapiga makambi tu
... wanadai ulikuwa mmeli hatari zaidi wa kivita duniani; fahari ya Putin na genge lake.Hata zile neptunes alizodondoshea Moskva zilikuwa ni zinaenda km chache tu. Ukraine hana zile mashine za masafa marefu.
Ukraine ishakua uwanja wa kujaribia silaha kama ilivyo Syria libya na Iraq.....hayo mengine ni porojo tuu....usa hataki kabisa kujiingiza 100%kwenye hii vita maana anajua majibu yake yatakua hayavumilikiSiamini km Ukraine hana hayo makombora ya kufika Russia hila anajua yakishafika huko Russian kipigo atakachopigwa kitakuwa kikubwa zaidi maana haya mashambulizi ya sasa hv ni ya kistaarabu sn sio km Yale wanayofanyaga USA na NATO wakipiga kombora watu 100 wanaua hila Russia yy anapiga makambi tu
Ukraine ishakua uwanja wa kujaribia silaha kama ilivyo Syria libya na Iraq.....hayo mengine ni porojo tuu....usa hataki kabisa kujiingiza 100%kwenye hii vita maana anajua majibu yake yatakua hayavumilikiSiamini km Ukraine hana hayo makombora ya kufika Russia hila anajua yakishafika huko Russian kipigo atakachopigwa kitakuwa kikubwa zaidi maana haya mashambulizi ya sasa hv ni ya kistaarabu sn sio km Yale wanayofanyaga USA na NATO wakipiga kombora watu 100 wanaua hila Russia yy anapiga makambi tu