BORESHA yazindua platform ya maoni ya wateja kwa makumpuni mbali mbaali hapa nchini
Dhumuni la mfumo huu ni kusaidia makampuni,Brands ,taasisi na sector mbali mbali kuwa na uwezo mkubwa wa kufikia malengo na mategemeo kutoka kwenye huduma wanazo zitoa kwa wateja wao. Kampuni,Brand na sector, taasisi yoyote ile inayo toa huduma ikiweza kufahamu nini ambacho wateja wake wanakitaka, wanalalamikia au kusifia na wapi wameshindwa kufikia malengo yao, ni rahisi kuweza kufanya njia mbadala za kuboresha utoaji wa huduma. Pia wataweza kuelekeza juhudi zao katika kuboresha maeneo ambayo bado hajaweza kukidhi mahitaji ya wateja wao.
http://boresha.co.tz/
1.Je, huduma/bidhaa zako zimewezaje kutatua matatizo ya wateja wako kwa kiwango gani?
2.Je wewe kama mteja, unaweza kuwapa mapendekezo au maoni gani katika kuboresha bidhaa na huduma zao?
3.Je, ww kama mteja tumefanikiwa kwa kiasi gani kutatua tatizo lako?
4.Ni kwa kiwango gani wahudumu wako wana lugha ya upole au isiyoridhisha?