Bora ukoloni urudi kuliko CHADEMA

Bora ukoloni urudi kuliko CHADEMA

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
1,036
Reaction score
330
Hata ccm ikiondoka ni bora kije chama kingine chochote au hata jeshi lakini sio hawa CHADEMA anayebisha tutatafuta
 
Ccm ina makosa . Sawa. Je chadema haitakosea. WANANGANGANIA nchi nini hasa nia yao hawa CHADEMA
 
Kumbe na wewe ni miongoni mwa wanaofikiria kwa kutumia masaburi,gamba gumu tu wewe huna jipya kibaraka wa magamba
 
Hata ccm ikiondoka ni bora kije chama kingine chochote au hata jeshi lakini sio hawa CHADEMA anayebisha tutatafuta

Kabla ya kukujibu chochote cha maana, nikuulize kuwa umezaliwa mwaka gani wewe? Nauliza hivyo kwa vile kijana mmoja aliniambia hivi karibuni kwamba hajawahi kuoga kwenye bomba la maji yatokayo juu, 'shower' tangu azaliwe, na kijana huyu kazaliwa Dar es salaam na si kijijini. Mimi nimeona enzi ya mkoloni, enzi baada ya uhuru mpaka sasa. Naweza kukuambia kikamilifu ni ipi enzi bora kati ya hizi. Jibu swali langu kwanza, tafadhali.
 
Wewe huna jipya.mbona kwingine Afrika na Ulaya mabadiliko yamefanyika?kwa akili zako unafikiri waliofanya huko mabadiliko ni Malaika????
 
Wewe naona ni kibara wa ccm! Sijui umetumwa! Tungekuwa wote tunafikiria kama unavyofikiri tungekuwa matahira wote ila sio kosa lako paka shume wewe!!
 
Hey! Jifunze kuwa na busara acha matusi, kejeli na dharau jaribu kuheshimu mawazo ya mtu kama hauna fact ktk utetezi wa hoja zako kaa kimya . Unaharibu JF
 
Tatizo la chadema kila mtu mtunga uongo au mshabikia uongo
 
Ukoloni ulikuja kwa nguvu isiyo ya umma, CDM inakuja kwa nguvu ya umma. Unahitaji nguvu sawa au zaidi ya ile ya umma ili kuizuia the same
 
Hata ccm ikiondoka ni bora kije chama kingine chochote au hata jeshi lakini sio hawa CHADEMA anayebisha tutatafuta
Hii ni chuki and pure subjectivity. Chadema kinaundwa na watanzania na kinakua kwa hivo kitaongeza idadi kubwa ya watanzania wengine toka ccm, cuf, n.k. kuondoka kwa ccm na kuja kwa chadema hakutatokana na uchawi au wizi au vita bali kutatokana na uamuzi wa Watanzania. Think Great! chadema hakiatakuja kama kikundi kidogo cha watawala kuiondoa ccm bali wananchi ndio watakuja na mabadiliko wakiitanguliza chadema kama wanavyoweza kuitanguliza ccm. Mbona unaweweseka mchana kweupe?
 
hili ni gamba tena liliokubuhu hadi likajiita kupe limezoea kunyonya damu za watanzania likiwaza chadema hadi masaburi yanatetemeka kwa woga linaona punde litauwawa.
 
mm ciipendi ccm ila kwa chadema bora ccm mara 1000 ni wabaguzi wa dini ndo mana chama chao maeneo ya wakristo ndio wanaoshabikia wanahubiriana siasa kanisani ccm imekua na nguvu kwa sababu haijali dini wala kabila na ndio kitu wanachokupigeni bao
 
Hata ccm ikiondoka ni bora kije chama kingine chochote au hata jeshi lakini sio hawa CHADEMA anayebisha tutatafuta
Lazima unatoka familia ya wachawi. kuteswa kote huku na ccm wewe bado unawataka? kuna jambo, naendelea kufanya utafiti.
 
Duh hili ni gamba ambalo ni fisadi sasa linaogopa CHADEMA itashika nchi then ataozea jela.
 
Back
Top Bottom