bora uende tu

bora uende tu

emboaba

Senior Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
143
Reaction score
117
habar wanaMMU..
juz yamenkuta nlkuwa na manz ambae nlkuwa nae kwe uhusiano takriban mwaka na miez minne iv ila juz kat kaamua tumwagane..iko iv alniomba hela ya matumiz bt nkasahau kumtumia coz npo bze na shuhul za ujenz bas akanfokea utazan nn thn akasema cmfai mwanaume gan ncyejua kuhudumia mwanamke..nkabak nashangaa kwasabu mara nyng huwa namtumia ya matumiz hata kama hajaomba toka juz kat hajbu wala kupokea cm calls zangu...
NB ye yuko Dar kwa baba ake mi npo mkoa napambana..
ushaur plz name nreply mashambulz au niwe mpole
 
Kuna ukwel
IMG-20180818-WA0024.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fundi ujenzi awe na muandiko kama huu, we kibahili tu wakati umependa mwenyewe, kuwa singo sio dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habar wanaMMU..
juz yamenkuta nlkuwa na manz ambae nlkuwa nae kwe uhusiano takriban mwaka na miez minne iv ila juz kat kaamua tumwagane..iko iv alniomba hela ya matumiz bt nkasahau kumtumia coz npo bze na shuhul za ujenz bas akanfokea utazan nn thn akasema cmfai mwanaume gan ncyejua kuhudumia mwanamke..nkabak nashangaa kwasabu mara nyng huwa namtumia ya matumiz hata kama hajaomba toka juz kat hajbu wala kupokea cm calls zangu...
NB ye yuko Dar kwa baba ake mi npo mkoa napambana..
ushaur plz name nreply mashambulz au niwe mpole
Kaaaa kimya usimtafute. Be a man and walk away. Huyo manzi inaonyesha anaco value kwako ni pesa tu.. and nothing else..

Ni bora umeona rangi zake halisi kabla hujafunga nae. From my experience huyo manzi hafai bro.. mwache atembee mbele.

Uking'ang'ania demu wa hiyvo atazid kukudharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo mkoan unapenda una mwanamke dar afu unamsaidia mshua mt kutoa matmiz.wat wengne amjionei hurum kaz yak ngumu afu unaonga hela kwan mkoan hakuna wanawake pg chn uyo malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu analiwa hela hiv hiv anajiona. Halaf wa dada wa dar si wa kuwapa pesa kabisa. Maana hao unawapa pesa mtu mwingine ndie anatomba.

Halaf yeye yuko mkoan analisha demu wa mtu. Shit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom