Pole sana kaka vuta subira wako yupo Mungu aliekuandalia, Usikurupuke kutafuta mwingine chukua muda, kuwa busy na ishu zako za maendeleo kwa muda huu.
Huyo dada amechezea bahati ambayo hatokuja kupata milele, usikate tamaa bado Mungu yupo kwa ajili yako! Kumbuka ya kuwa mke mwema hutoka kwa Mungu