"Hapa na pale, vuta ni nivutike, ilikuwa pata shika, jamaa aliamua angalau na yeye aweke kumbukumbu katika maisha yake ya upweke kwa kuanza na familia.
Masaa yalipokaribia, kijana alijituma kwa maandalizi balaa ila ikashindikana alipoonyesha waziwazi kwa mpenzi wake kuwa anatakaa aongeze idadi ya raia'. Mdada kuona alama za nyakati na tarehe hizo basi akaondoka speed kubwa nakusahau kabisa kama alishaanza maandalizi'. Mzungu wa nne ukamkumba mheshimiwa na hivi anajiuliza', NINI KISA?, WAKATI HAUJATIMIA? TARATIBU HAZIJAFUATWA?
NAPENDWA? AU SIPENDWI?
NIFANYEJE?
Wadau habari ndo hiyo!!!!!!!!!!!!!!! Karibu na Mawazo mbadala

hebu isome kwa makini...ukielewa nieleweshe...
na mimi nimekwama sijaelewa bado
hii bora ngoma kuliko mimba inaingiaje hapa.....hivi ulikuwa unataka kusema nini....hebu jaribu kuiweka kwa lugha ya kwenu labda tutaelewa