Unachokisema ni kweli dada!Yaani Kaka wanaume mpo wa aina nyingi sana aisee.
Sa sijui mleta uzi hajui kama huwa matatizo ni sehemu ya maisha? Labda kama huyo mdada anadanganywa hapo tutamuelewa.
Ila nje ya hapo tutamuita mwanaume anayeogopa majukumu ndio sababu anataka kukimbia.
Nimekuelewaa mkuu... I will try nione itakuwajeeUnachokisema ni kweli dada!
Sioni sababu ya kukimbia majukumu,ni kuyaface tu!matatizo ni sehemu ya maisha!
Hata kama huna pesa, unazungumza naye unamuelewesha,kuonesha hata ile concern ni msaada pia siyo lazima utoe chchte!
Ni vizuri kuwa muwazi Mkuu,utaepusha mengi,kama anakupenda akupende kwa jinsi ulivyo,kufake sana siyo poa Mkuu!Mwanaume hutakiwi kusema sina pesa hasa kwa girlfriend inatakiwa umwambie mkeo tu
Poa poa MkuuNimekuelewaa mkuu... I will try nione itakuwajee
Hapo kwenye nyekundu Mkuu. Duuh.Aisee we mtoa mada shida yako ni kama yangu, demu alinikubali lkn ndani ya siku 3 mfululizo alinipiga vizinga vya pesa Mara shida hii Mara shida ile, hapo hata hajanipa shimo, nkimwambia aje geto ananipiga kiswahili, nkamwambia mama kama hunipendi niache, sasa cjui hii ni stail yao mpya ya kumkataa mwanaume, kama sio kumchuna maana demu anajua akikukataa direct utampotezea mazima. Nampenda sana ila ndo ivo mizinga imenikimbiza, wanawake tunawapenda sana na tupo Tayar kuwapa hela ila msitufanye mazoba kwa kutufanya sie ATM Hajar Cosmasjulius
Ewaaaaa. Kweli kabisa usemalo kaka.Unachokisema ni kweli dada!
Sioni sababu ya kukimbia majukumu,ni kuyaface tu!matatizo ni sehemu ya maisha!
Hata kama huna pesa, unazungumza naye unamuelewesha,kuonesha hata ile concern ni msaada pia siyo lazima utoe chchte!
Kama naelewa hiv!!!!!!!inawezekana kampata rafiki anamshauri akuombe pesa au
kaachana na baasha wake aliyekuwa anampa pesa
[emoji23][emoji23][emoji23] shida moja Hajr siku hizi wanawake wwalio wengi mmekaa kimaslahi hivyo n hatar mtu kakitongoza kesho unalia shida.So ni bora iwe n gegedo kwa pesa.Mara nyingi mtu aliye serious hawezi kukuomba hela mapema hvo kwenye uhusiano saa zingine hata hajatoa jibu la yes au no anakutwanga vizinga.Hapo kwenye nyekundu Mkuu. Duuh.
Hivyo bila kupewa hiyo huwezi saidia mwanamke?
Hahaaa. Nyie ndio tatizo Mkuu kwa kutoa mnapoombwa huku unajua kabisa hiki ni kizinga.[emoji23][emoji23][emoji23] shida moja Hajr siku hizi wanawake wwalio wengi mmekaa kimaslahi hivyo n hatar mtu kakitongoza kesho unalia shida.So ni bora iwe n gegedo kwa pesa.Mara nyingi mtu aliye serious hawezi kukuomba hela mapema hvo kwenye uhusiano saa zingine hata hajatoa jibu la yes au no anakutwanga vizinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume ni dhaifu kwa mwanamke tokea enzi za adam na hawa mlituwezea.Hahaaa. Nyie ndio tatizo Mkuu kwa kutoa mnapoombwa huku unajua kabisa hiki ni kizinga.
aaahhgh wapi "" hapo ameshakutana na rafiki zake misambinungwa " imemfundisha tabia mbaya " ya kudanga ""... na bahati mbaya wakianzaga kudanga " huwa hawajui mpaka watu wa kuwadanga "" na wakuwa heshimu wao wanadanga tu " wanasahau kuwa ndio wanazidi kujiweka kwenye Mazingira magumu ya kutokuolewaMkuu,kama mwanzoni alikua hana tabia hizo,ujue sasa hivi ana matatizo ndio maana anakuomba!
Hata kama huna ungejaribu kuzungumza naye kumuelewesha kuliko kumkimbia!
aaagh wapi "" kumbuka " muhusika amesema kuwa alikuwa anampa " lakini sasa imekuwa too much "" means " kila wakati Anataka hela tu ".. sasa kama baba Yke anaumwa " hawana ndugu wa kusaidizana nao ili waweze kufanya michango itakayo saidia " matibabu ya MZee wake ""....!?Kama alikua hakuombi pesa na sasa amekuomba..jua amekwama kweli
finally naona umeamua kucheka na sio kuhuzunika ...."" Aisee hahaaSijui nicheke sijui nihuzunike all in all pole kwa yaliyokukuta. Leo ndo unatambua kuwa mapenz pesa[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole yako.
Mwanangu kama akikushinda ntupie huku maana hao chura huku kwetu adimuNtajitahdi nimtafutee niongee nae maana daah hata Mimi najisikia vibaya... sema hata tukiendelea ilee confidence ya kuwa nae ntakuwa sinaa kabisa... kiukweli ni mzurii na churaa anayoo ya kumwagaa so nipo njia pandaa
Naanzaje kwa mfano??? Hivi unajua kuna watoto wa shangazi zangu kibao ambao wanahitaji msaada, hivi unajua kuna wadada walinisaidia class sasa hivi mambo yao yamepinda wanahitaji msaada??? hivi unajua hata mimi mwenyewe hizi pesa nazihitaji naanzaje kukupa wewe bila wewe kunituliza nafsi kidogo. Muwage mnafikiriaHapo kwenye nyekundu Mkuu. Duuh.
Hivyo bila kupewa hiyo huwezi saidia mwanamke?