Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,024
Nimefikiria Sana mkuu lakini sasa anachohitaji sasa ni pesa story zangu atazichokaa... Atachepukee alafu ntashindwa hata kumuuliza!!Mkuu,kama mwanzoni alikua hana tabia hizo,ujue sasa hivi ana matatizo ndio maana anakuomba!
Hata kama huna ungejaribu kuzungumza naye kumuelewesha kuliko kumkimbia!
hilii hasaa ndo ninalolionaa kakutana na wadada wa mjini wanampanga..inawezekana kampata rafiki anamshauri akuombe pesa au
kaachana na baasha wake aliyekuwa anampa pesa
Yaani Kaka wanaume mpo wa aina nyingi sana aisee.Mkuu,kama mwanzoni alikua hana tabia hizo,ujue sasa hivi ana matatizo ndio maana anakuomba!
Hata kama huna ungejaribu kuzungumza naye kumuelewesha kuliko kumkimbia!
Halafu yupo hapa hapa anamsikia!Mmh. Sasa hiyo too much imeletwa na nini?Inamaana anakudanganya au ndio ushasahau ule usemi usemao ukipenda boga penda na ua lake.
Sioni tatizo kumsaidia mtu unayempenda na ambaye unamalengo naye baadae labda kama ulikuwa mpita njia Mkuu.
Kama huna mwambie huna na sio kusema unamtosa Mkuu.
Sijui nicheke sijui nihuzunike all in all pole kwa yaliyokukuta. Leo ndo unatambua kuwa mapenz pesa[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole yako.Aiseee kweli mwanamke ni kuishi nae kwa Akili... Mwaka Jana mwishoni nlipata girl flani hivi nkamtokea akakubali sasa mwanzoni hajwahi kuniomba helaa kabisa Ila mimi tu ndo nlikuwa najiongeza nampa kishkaji...mambo ya vocha kawaida Sana... sasa juzi Kati akawa amehamia sehemu ya mbali na ninakoishi akaanza kunililia shida nkawa nampa hela kishkaji tu lakini ikafika kipindi naona Ni too much anasema mpaka baba ake anaumwa na ukichek Mimi sipo vizuri kipesa now yani imebdi tu nimpotezee kimya kimya... japo nampenda Ila kila siku kumpiga viswahili na kumwambia sina hela nimeshindwaa...!!
Kweli mapenzi pesaaa...
Hahaaaa. Bora amsikie kwa kweli sababu hii ni zaidi ya kutaka kumuacha dada wa watu kwenye mataa.Halafu yupo hapa hapa anamsikia!
Nakusalimu dada ake.
Nakuwa nafikiri hivyo lakini sasa uwezo wangu wa kumsaidia umefika mwisho maana vyuma vimekazaa sanaaKama alikua hakuombi pesa na sasa amekuomba..jua amekwama kweli
Mwambie huna pesa akuvumilieNakuwa nafikiri hivyo lakini sasa uwezo wangu wa kumsaidia umefika mwisho maana vyuma vimekazaa sanaa
Ntajitahdi nimtafutee niongee nae maana daah hata Mimi najisikia vibaya... sema hata tukiendelea ilee confidence ya kuwa nae ntakuwa sinaa kabisa... kiukweli ni mzurii na churaa anayoo ya kumwagaa so nipo njia pandaa
Duuh hili sasa ndo linakuwa gumuu...!!Mwambie huna pesa akuvumilie
Jikaze tu cos..na umwambie ukweli utakua huruDuuh hili sasa ndo linakuwa gumuu...!!
Mwanaume hutakiwi kusema sina pesa hasa kwa girlfriend inatakiwa umwambie mkeo tuMkuu,kama mwanzoni alikua hana tabia hizo,ujue sasa hivi ana matatizo ndio maana anakuomba!
Hata kama huna ungejaribu kuzungumza naye kumuelewesha kuliko kumkimbia!