Bora nikanunue tu

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,757
Nakupa pesa, hutaki kutoa uroda.

Wanawake wanapenda pesa, na wanaume tunapenda uroda, sasa hapo ni win win situation, nipe uroda nikupe pesa.

Sio natoa pesa uroda hutaki kutoa ndio nini sasa.

Si bora niende kwa wale wakununua kabisa, wale wanajua unachotaka, wanatupa uroda nasis tunawapa pesa, kila mtu anaondoka ameridhika.
 
Mkuu wale wa kununua inakuwa si huru maana unatakiwa uvae chakachaka lililopakwa mafuta sio nyama tu nyama😅
Halafu kwa baby mama inakuwa huru bila chakachaka unaweza mbusu utakavyo kushika utakavyo full kuvunja sheria za kikorona😜

Itabidi tuwavumilie tu mkuu maana hizo purukushani zao kidogo zinasaidia!
Hivi unafikiria kama sisi wanaume ndo tungekuwa tunatongozwa na wanawake unafikiri namba ya watu duniani ingekuwa inasoma billions au tillion!!
Ingekuwa tumeshafika zillions huko tunatafuta na herufi nyengine za kuongeza!!😜

Kwasababu sisi hatujui kukataa😂😅
 
Hujakutana na wanaojua wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dem unamhudumia alafu anakuambia kwake sex sio lazima [emoji51][emoji51][emoji51] ukijiuliza tofauti na sex anakufanyia/anakupa nini hakuna. Wanawake muiache hii tabia ni mbaya sana kama uwez kumpa mtu anachohitaji usimgharamishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…