bora kuwa player

bora kuwa player

Eddylwiza

New Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
2
Reaction score
1
siku hiz inaonekana wasichana wadogo wanachukuliwa na mababa mazee mazma hiv hii ndo nn jaman au tunaenda wapi
 
Ni hivi mshkaji wasichana wengi wanatamaa ya pesa na utakuta mvulana rika yake bado ni tegemezi kwao hawezi kumpeleka shopping na mambo mengine so ndo maana wa deal na watu wazima ambako wanatimiziwa mambo mengi,huoni hata wamama watu wazima wanawazimikia masela cos watu wazima wadate na videmu
 
Back
Top Bottom