Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,086
- 5,142
Mhe. Rais na Serikali ya JMT kwa ujumla wake nawasalimu nyote.
Ugonjwa huu wa UVIKO-19 ulipoanza mlipuko wake, ulikuja na dhana na imani tofauti tofauti(Various conspiracy theories).
Hali hii imechajishwa sana na ushindani wa Marekani na China juu ya kuwa Mwenye Nguvu wa dunia(Global Power).
Nafasi hiyo imeshikiliwa na Marekani kwa sasa huku China akiitaka hiyo nafasi kwa Udi ma Uvumba.
Ni ukweli kwamba tumefika mahali mataifa hayaminiani tena. Hii pia ni kutokana ma kuongezeka kwa watu wakati chumba(Dunia) tuliopewa na Mungu haiongezeki.
Hizo ni theories ambazo zinakaribia na ukweli na hivyo kuchajisha dhana nyingi juu ya ujio wa Corona.
Ni ukweli usiopingika pia kuwa njia tuliochagua kwa awamu ya kwanza imetusaidia sana.
Awamu ya pili imekuja huku ikisemekana kwamba mdudu kajibadili(undergone mutation). Sio yule wa kwanza.
Ninachoomba hapa ni tujiunge na dunia katika methods zinazotumika duniani kote katika kupambana na huyu mdudu kwa awamu ya pili.
Njia hizo ni;.
1. Njia zote zilizotumika awamu ya kwanza.
2. Serikali kuu kuongoza mapambano na hamasa ya kufuata njia za kujikinga. Serikali kuu inaaminiwa sana na Wananchi kuliko mtu au shirika lolote. Hasa mhe. Rais ukijitokeza kuongoza mapambano.
3. Serikali kuu kutoa bajeti hata kwa kufanya re-allocation. Kuna vitu vinaweza kusubiri kama vile ujenzi miundo mbinu lkn afya zetu hazisubiri. Tutaangamia.
4. Chanjo. Kama tumeshindwa kutengeneza chanjo yetu, basi tuangalie uwezekano wa kutumia hiyo inayotumika duniani kote. Kama itatuloga hiyo chanjo, basi tutakufa au tutapumbazika wengi.
Tupunguze myths na imani ambazo hatuwezi kuzithibitisha kisayansi.