Chama ni kama chumba na Wapinzani ni mpangaji, nyumba ikibomoka watu wanahamia nyumba nyingine.. Chadema yenyewe enzi hizo za akina NCCR, CUF na TLP haikuwa na hizo nguvu, ila utaona wengi walitoka huko wakaja Chadema walipoona waliko upinzani umekufa.