Bora angekufa baba kuliko mama

Nadhani wababa kidogo alarm imelia. Asante mtoa mada.
 
Japo kuna wamama wakatili sana sana tena kwa watt wao wa kuwazaa sema ndo hivyo mtoto mdogo hata akipigwa bao la mgongo akaangukia kule huinuka na kumrudia tena mama yake huyo huyo aliyempiga. Tubadilike wote jamani watoto ni zawadi kubwa sanaa.
 
Wenzetu hawa hawanaga ile second thought!Saa zingine kama watoto wadogo yana wanahitaji uangalizi wakati wote.akikuponyoka tu akaazisha lake bila wewe kujua on the sport ukamzuia,yani hageuki hadi atimize azma yake ndo aangalie nyuma!haijalishi umemuonya mara ngapi.
Lkn pia wengi wanaamini mume usipokuwa mkali unapoteza/unapunguza sifa za ubaba!
ILA KIUKWELI UKIAMUA KUMPENDA NA AKAJUA UNAMPENDA HAKIKA UTAKULA MEMA YA NDOA!YANI ANAWEZA KUKUHANGAIKIA HADI UNAMHURUMIA.
NDOA ZENYE UPENDO NA AMANI UTAZIJUA KUPITIA WATOTO HATA KAMA WAZAZI HUWAFAHAMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…