Bora aende

Bora aende

estlyjonathan

Member
Joined
May 26, 2016
Posts
84
Reaction score
122
Habari zenu leo ni muendelezo wa yule kaka king'ang'anizi.

Nimeamua kumuacha ili nisije kumuumiza huko mbele ya safari. Nimechukuwa maamuzi hayo kutokana na mwanzo wa mahusiano yetu aliniambia kuwa ana mwanamke anaishi naye ingawa sina uwakika maana mida ya usiku kwenye kuongea ananipa nafasi hiyo hata kutoka out tunatoka na kurudi usiku wa manane na sisikii mtu yoyote kupiga simu.

Nimeona ni bora aende. Kama kweli ananipenda na ana malengo na mimi atarudi, ila yeye dini yake ni Muisilam.

Toka nimtumie meseji kuwa mimi na yeye basi, safari hii kakubali matokeo ingawa kwa sasa napata shida kidogo nakuwa namuota sana usiku na usingizi hata hauji mpaka ninywe pombe.

Siyo kwamba nampenda, hapana. Nahisi imetokea tu pasipo kujua. Na ni mtu nakaa naye kitaa mara ya mwisho ananiambia hajaniona nikipita na huwa asiponiona hana furaha kabisa.
 
Ushabugi tiyari,ungemuacha kimya kimya,now ushajifunga utarudi ww mwenyewe,ushauri Wangu mwambie kuwa ulikuwa unatania kupima imani yake
Kwa Maelezo yako inaonekana bado unampenda,z,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye ni king'ang'anizi lakini amekwambia ana mtu wake, wewe umekubali, inaonesha kama wewe ndio king'ang'anizi

Unaishi naye kitaa kimoja lakini huna uhakika kama ana mtu wake kama alivyosema au anakudanganya
, mtaa mmoja na ni mtu wako lakini unashindwa kujua hilo

Humpendi lakini unamuota usiku na haulali mpaka unywe pombe na umemletea thread

Kazi kweli kweli
Habari zenu leo ni muendelezo wa yule kaka king'ang'anizi.

Nimeamua kumuacha ili nisije kumuumiza huko mbele ya safari. Nimechukuwa maamuzi hayo kutokana na mwanzo wa mahusiano yetu aliniambia kuwa ana mwanamke anaishi naye ingawa sina uwakika maana mida ya usiku kwenye kuongea ananipa nafasi hiyo hata kutoka out tunatoka na kurudi usiku wa manane na sisikii mtu yoyote kupiga simu.

Nimeona ni bora aende. Kama kweli ananipenda na ana malengo na mimi atarudi, ila yeye dini yake ni Muisilam.

Toka nimtumie meseji kuwa mimi na yeye basi, safari hii kakubali matokeo ingawa kwa sasa napata shida kidogo nakuwa namuota sana usiku na usingizi hata hauji mpaka ninywe pombe.

Siyo kwamba nampenda, hapana. Nahisi imetokea tu pasipo kujua. Na ni mtu nakaa naye kitaa mara ya mwisho ananiambia hajaniona nikipita na huwa asiponiona hana furaha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudate na mwanamke kama wewe ni kazi ngumu sana,Hueleweki umeshikilia wapi. unasema humpendi huyo baharia na umeamua kumuacha, kakubali sawa nenda, thn unakunywa pombe kana kwamba mawazo umeshindwa kumuacha, unataka usaidiwaje hapo dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuelewa mwanamke nikaz sana ukimwambia ukwel anahis unamdanganya sasa cjui wanataka nn
Habari zenu leo ni muendelezo wa yule kaka king'ang'anizi.

Nimeamua kumuacha ili nisije kumuumiza huko mbele ya safari. Nimechukuwa maamuzi hayo kutokana na mwanzo wa mahusiano yetu aliniambia kuwa ana mwanamke anaishi naye ingawa sina uwakika maana mida ya usiku kwenye kuongea ananipa nafasi hiyo hata kutoka out tunatoka na kurudi usiku wa manane na sisikii mtu yoyote kupiga simu.

Nimeona ni bora aende. Kama kweli ananipenda na ana malengo na mimi atarudi, ila yeye dini yake ni Muisilam.

Toka nimtumie meseji kuwa mimi na yeye basi, safari hii kakubali matokeo ingawa kwa sasa napata shida kidogo nakuwa namuota sana usiku na usingizi hata hauji mpaka ninywe pombe.

Siyo kwamba nampenda, hapana. Nahisi imetokea tu pasipo kujua. Na ni mtu nakaa naye kitaa mara ya mwisho ananiambia hajaniona nikipita na huwa asiponiona hana furaha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom