Boots on the Ground huko Iran inakaribia sana!

Let us wait and see. But from what i know, Iran is not like Venezuela. Those people are really good in war tactics.
 
Ni ngumu kwa sababu inahitaji kama hivi umiliki pwani na then umiliki upande wenye milima at the same times..inahitaji wanajeshi karibia 200000 angalau kdg
 
Wanajeshi wa Marekani pamoja na vikosi maalum vya Israeli wakijiandaa kwa ajili ya kuanza vita ardhini huko Iran

View attachment 3568249
Hizo ni Hollywood movie dogo kipigo akichopewa jana ndege 7 na ma commander's walivyo fyejwa fyekwa na juzi ndege tatu USA hawezi kushusha boots kwenye ardhi ya Iran

Yule Pilot mlie mfurahia wewe na Trump na Shetanyahu bado yupo mikononi mwa Iran. Kwa taarifa yako ni Iran ndiye aliye wachezea game kama vile wanawasiliana na Pilot walipo fika, Iran alikuwa kisha jiandaa vizuri akawapiga ili bidi waombe ndege zingine za vita ili kuja piga pale huo ndio ukweli bila hivyo hao ma commander's wote wasinge rudi na wengi wao walisha umizwa vibaya sana.
 
Let us wait and see. But from what i know, Iran is not like Venezuela. Those people are really good in war tactics.
Exactly

Boots on the ground it's a sunk cost fallacy by that point. Iran is not the ideal country for boots on the ground warfare

It's a big ass mountainous, treacherous ass country, Iran has a rugged landscape that makes a mountainous Afghanistan look like a flat playground sandbox

If the Americans couldn't beat the Taliban in Afghanistan with boots on the ground, how come they can beat Iran in their own back yard?

You have to be completely devoid of intelligence if you believe America could
 
Let us wait and see. But from what i know, Iran is not like Venezuela. Those people are really good in war tactics.

Hapo waombe tuu msaada kwa china na Urusi hasa wa anga.
Iran hatatoboa kama anga lake lipo uchi mbele ya adui zake.
Vinginevyo wapigane wakiwa mjini kwenye majengo ya raia.

Lakini hao wanakuja kwa ground alafu juu midege inafanya cover-up hapo Iran Kwa kweli wajipange Sana.

Huwezi pigana na mtu ambaye anakushambulia juu na chini
 
Tuache ushabiki twende kwenye facts. Ndege si saba, the fact kwamba marekani waliweza kuingia iran deep 200milwa inside nanku establish FOB, wakampata rubani na kusema nae regardless vitu walivyopoteza ina maana wako vizuri (haimaanish conflict yenyewe ni rahis)

Lakin pia iran hawajadhibitisha kwamba wanae rubani else angerushwa kwenye vyombo vya habari au kumake deal na america wapate wafungwa wao

Rubani ameweza ku survive masaa 24 na zaidi ? Iran na vikosi wajitafakari
 
hehehehehe umeandika kwa machungu sana eti Iran hatatoboa

hizo ndege unazosemea hujaziona zikitunguliwa kama maembe?

sembuse waje chini ya ardhi? wataisha vibaya sana hao mashoga zenu wadanganyeni
 
wafungwa gani tena?
 
hehehehehe umeandika kwa machungu sana eti Iran hatatoboa

hizo ndege unazosemea hujaziona zikitunguliwa kama maembe?

sembuse waje chini ya ardhi? wataisha vibaya sana hao mashoga zenu wadanganyeni

Nakuambia hivi. Kama Iran hatakuwa na njia za kulinda anga lake akaacha midege ya hao makafiri irande rande angani hata wangekuwa naa wanajeshi wa kiroboti au kizombi hawawezi kutoboa. Labda watumie na kujificha kwenye majengo ya raia kama Hamas
 
hio midege inadunguliwa tu isikuogopeshe haina mazara

au hujaona ikidungunyuliwa?
 
Wanajeshi wa Marekani pamoja na vikosi maalum vya Israeli wakijiandaa kwa ajili ya kuanza vita ardhini huko Iran

View attachment 3568249
Kwanini Israel hawaji ardhini, kila,siku wanakufa wamarekani tu? Kwanini wawatoe kafara wamarekani kwa vita ya wayahudi?

Alafu kesho utasikia Israel imempiga Iran huku inategemea US, imagine na Iran ikileta wanajeshi wa Russia-China!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…