Habarini wana jf ,,nilikuw naomba kujuzwa kuwa boom huwa ni shingap na inatolewa kwa miezi mingap
Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
laki tano na point zake, kwa mwaka inatolewa mara nne, hii ni kila baada ya siku 60 au miezi miwili.Habarini wana jf ,,nilikuw naomba kujuzwa kuwa boom huwa ni shingap na inatolewa kwa miezi mingap
Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
Ina depends umepata asilimia ngapi..ni laki 520k kila baada ya miezi miwiliHabarini wana jf ,,nilikuw naomba kujuzwa kuwa boom huwa ni shingap na inatolewa kwa miezi mingap
Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
boom ni sawa kwa wote iwe umepata asilimia moja au miaIna depends umepata asilimia ngapi..ni laki 520k kila baada ya miezi miwili
Umeandika Lugha ngumu SanaIna depends umepata asilimia ngapi..ni laki 520k kila baada ya miezi miwili
Yah mkuuboom ni sawa kwa wote iwe umepata asilimia moja au mia
Inategemeana na chuo mfano Mwenge University Moshi wanapokea 490,000 kwa first year..ila kwa continuous ni 465,000..kwa siku 60Habarini wana jf ,,nilikuw naomba kujuzwa kuwa boom huwa ni shingap na inatolewa kwa miezi mingap
Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
kama ni mwaka wa kwanzaHabarini wana jf ,,nilikuw naomba kujuzwa kuwa boom huwa ni shingap na inatolewa kwa miezi mingap
Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
Medical students wanapata 650k..Ina depends umepata asilimia ngapi..ni laki 520k kila baada ya miezi miwili
Wana siku nyingiMedical students wanapata 650k..
nishabadili
au sio