Inaonekana unakua kuelekea utotonihahahaha daktari ndoo nani komeni sasa kuleni udaktari
Wameshaenda mara nyingi lakini ndo hivyo tena hata wizara ya elimu haielewi pesa ikowapi
Mkuu umechanganya tangazo.View attachment 362033 Huku bugando (Cuhas) kupitia serikali ya wanafunzi CUHASSO wamebandika hilo tangazo leo jioni tunaleteana siasa kwenye mambo ya msingi I hate this government
Sorry its highlighting error nishaliweka linalohisikaMkuu umechanganya tangazo.
Yaan tatizo sio karatasi walete pesa Cuhas wameshasign lakini mpaka leo pesa hamnaPoleni Sana wakuu! Sisi TIA Leo tumeletewa sheets hiyo ni baada ya kutishia kugoma na kuleta taharuki chioni. Sema hakika vyuo vingi vya private wakisikia mambo ya mgomo ni kufukuza tu.
Kaka mi nipo cuhas hakuna alie sign hizo taarifa cyo kweli na hilo ndio tangazo lilibandikwa leo kuhusu mambo ya bodiYaan tatizo sio karatasi walete pesa Cuhas wameshasign lakini mpaka leo pesa hamna