Hey Kasiba....what did you do to her? She is so bitter and angry at you!
Did you *** her man or something??
Hahahahaa.....just asking....
Daaah yaani kumbe ulimwenguni kuna watu wa sampuli za kila aina eeehhh hahahahhhaaaa nilikuwa sijui. Jana nililala na cheko na bado nimeamka na cheko heheheheheheheheee.
Ujue nini, sitaki na wala sina upako wa kujibizana anayejisikia kutapika ruksaaa wino upoo ukiisha tumieni mate. Ila sijui niweke records sawaa halafu nikae kimyaaa au niachee......
Ila hata nikijibu ili niweke records sawa ili iweje..... Mie shida yangu mahaba.... maadamu nayapata maneno ya mpangaji / mpita njia hayanibadilishi muelekeo wangu hata kidogo.
Haya kumekuchaaa kumekuchaaa muda wa kuachia vyumba ndo huu nshashiba burekifast na funguo nsharudisha kwa wenyewe. Hapa nabarizi tuu kwenye mgahawa huku nikitabasamu. .....
Tukutane baadae Boogie Woogie.... Wale wadau wa Kasie Mahaba mkujee kwa wingi hehehehehe.
Jumapili ndo hii niko hapa mwanzo mwisho twende kazi. Pamoja na yooote, humu JF ntaishi ntavyotaka mie sio watavyotaka wao.
Hata sie wanayamwezi ni kawaida yetu kama ilivyo kawaida ya jirani zetu...... hatupangiwi cha kusema wala cha kuandika.
Nikijisikia tuu na minyege ikipanda tuu basi ni Mahaba kwa kwenda mbele na uzi juu, nisipojisikia naweza nikakaa kimya vile vile si kuwa sina jibu, napuuzia tuu......
Wajua nini, bibi yangu hakusoma ila alikinyaka kiingereza cha mkoloni na kabla hajarudisha namba aliniambia; "mjukuu wangu Kasinde, at this young age learn with your heart that; cooking is an art, writing is an art, singing is an art, talking is an art, listening is an art and so forth.
Even if you have all the certificates, if you are not an artist.... yes you'll do those things but not to that extent".
Hahahahahhahaa tangu hapoo, Kasinde ni Mahaba mahabaa ni Kasinde hakuna kuachana, full Artisan K' Mahaba Matata. Asante bibi yake Kasie kunitunuku maana with the art I have, I have it all.....
Halafu nilijua nikiamka asubuhi ntakuta watu wamenyoosha vidole kuwa hawapendi mautamu ya nonsense hehehehehehehheee wapi hata sijaona au labda walinyoosha halafu wakafuta mie sijaona....
Hapana cheza utamu weweee hehehehehheee, watu wanapenda sana mambo ya kijinga sasa jiulize kwanini?
Mwenye jibu atupatie tafadhali na mwingine naomba atuangalizie ni wangapi wamesoma hizi nonsense labda ndo tutajua idadi ya walinyoosha vidole.
Nawatakia jumapili njema yenye utulivu wadau wa Mahaba.
Mahaba Oyeeeeh.
Nonsense jeee.....!!?? Oyeeeeh au ziiiiiiii
Aahahahahahahha haaaa
K' Matata.
Heheheheheheheheeey cheza Mahaba weeweee......
Wapi Dadiiiii......
Wapi Kasie......
Watu wanapata ukakasi kuchungulia mama mke akiwa uchi ila hawaachi heheheheheheheheee
Unafanya mchezo na chabo aahahahahhaaa chabo tamuu, kama hujui utamu wa chabo waulize waliokulia uswahilini na mie kigagula wao nikiwemo.
Nasikia rahaa aahahahahahahhaaa. Hivi Dadii, unajua ukiwa na kitu kinakukera kiko kooni tangu mwezi wa kwanza unataka kukitoa unajizuia hadi mwezi wa 11 mwishoni uvumilivu unakushinda unaamua kukitoa. Sasa kwa sababu ulikibana muda mrefu siku ukikitoa kinatoka bila breki wala mpangilio ni vuuup vaaaap pwaaah utasema matapishi au uhaaroo hehehehheeee. Na kama kuna watu jirani ukimaliza kuachia haja yako wanakushangaa wengine kupasuka mbavu wengine wataona huruma na imani.....
Kubana vitu ndani sio kuzuri jamani muwe mnajiachia tuu hehehehehee. Heee hivi kumbe ni nonsense. ... nlishasahau hehehe.
Nonsense hoyeeeeeeee heheheheheheheheee.
K' Mahaba.
Hahaa eti nikuweke kwenye ignore list why??dont you think this is fun?? By the way wewe mbona hujani ignore? ...una enjoy as much as I do....itakua hivi hivi kila ukileta mashudu aka nonsense....okay?
Eti tunataka tumjue dadii wako , ili iweje?tum PM,tumnyakue au?? Unachekesha kweli wewe...the poor man has to keep up with embarrassment kila siku unayoandika mashudu yako,may be he is relieved na hii topic ujiassess mbwa wewe.....
Let’s goooo...
Hhahahahahahahaha Mahaba hoyeeeeeeee
Kasinde hoyeeeeeeee
Dadii hoyeeeeeeee
Nonsense hoyeeeeeeee
K' Matata.
Nonsense hoyeeeeee
Mahaba hoyeeeeee
Dadiii hii sentensi ya mwisho kisha naondoka hapa, ila vidole vikorofiii, vinanisukuma niandike nonsense tuu hehehhehehee
Dadiii hoyeeeeee
Kasiba hoyeeeee
Dudumizi hoyeeeee
Bodyguard hoyeeeeee
Nonsense hoyeeeeee
Ahahahahahahahhahaa
View attachment 945877View attachment 945877View attachment 945877View attachment 945877
Kidaliii Pooooooh .......... Mlale naachooo kama janaaa hehehehehheheheeee.
uko njema madam....enjoy your mondayKachiriii kachiriii sagaaaa
Ddadii wangu kasafiriiii saagaaaa
Kaniachia ligomaaaa saagaaa
Na mtindo wa hariiriii saagaaa
Kachirii saagaa ntiee gomaaa
Kachirii sagaaa ntiee gomaaa...
K' Matata.
Kasie mahaba
Ha haa li ngabu udomo zege sio rahisi kumuisha lile... Liko lishamba sana lile sukumaValee mamboo, ndo naona comment yako leo dooh, kwemaa??
Kila nikikuona nakumbuka kile kikohozi chako (KOH KOH KOH ) aambacho Ngabu alisema akupe KOFTA??? naishia kucheka sana heheheheee
Najijua mie ni mchokozi ila Ngabu ni lichokozi zaidi hehehehehe akija hapa naruka futi mia kuwa sio mimi niliyesema haya. Ila siku hizi kapunguza udomo zege anajitahidi kweli kusemeshana..... hahahahahahhhaaa.