Jambo mm jamaani aendelee tu kukupa mema ya nchiAmekuitika Maahaabaaa jambo totooo juliii.
Kupendwa ndio huko mama huna dadii uko na mm uniperaha iliyoje...
πππJambo mm jamaani aendelee tu kukupa mema ya nchi
Kupendwa ndio huko mama huna dadii uko na mm unipe
Hahahaha acha ajilie tu jamani maisha yenyewe mafupi haya[emoji23][emoji23][emoji23]
Atanibeba jamani napenda kubebwa mm[emoji23] madadii ndo habari ya mujini.. njoo umchukue mwingine yupo mikese huko[emoji23]
kubebwa ndo kutamu anakubeba kwa kila kitu dadekπAtanibeba jamani napenda kubebwa mm
Amekusoma .....Na aendelee tuu kwakweli maana mema yake yananipunguzia uzee.
Love him million dollars.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nawaza tu na huu ubonge wangu tu dadii asije akanidondoshakubebwa ndo kutamu anakubeba kwa kila kitu dadek[emoji12]
Woyooooo kupendwa rahaaaa kupendwa ndio hukoAmekusoma .....Na aendelee tuu kwakweli maana mema yake yananipunguzia uzee.
Love him million dollars.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nawaza tu na huu ubonge wangu tu dadii asije akanidondosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm hata akiniangusha sawa tu ilimradi nibebwe tu[emoji23][emoji23][emoji23] anakubeba ukiwa [emoji482][emoji482] lazima achemke..mimi kubebwa naogopa jaman aku aniangushe..akikutengua kiuno ndo completely finished..[emoji39][emoji39][emoji39]!mbwembwe zoote zitaishaa[emoji23][emoji23]