Boniface Mwangi ni Nani?

Boniface Mwangi ni Nani?

Mwamba kajichanganya mtumbwi wa vibwengo
Actualy hajajichanganya, hana kosa lolote kisheria is why wanashindwa kumfungulia kesi

Incase unataka cv yake , ni kenyan photojournalist, politician, and activist, alipata umaarufu 2007-2008, alipata tuzo ya CNN africa kama mpiga picha bora 2008-2010

Na ameshiriki activitis nyingi sana kenya, ni one of reowned journalist
 
Tuzo my foot. Kakutana na wajuaji zaidi yake. Anacheza na chatu Tu mida hii
 
Back
Top Bottom