Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,582
Ni jambo lakushangaza kuona mtu aliekuwa anatukusanyia uchafu kila siku amestopishwa na diwani wa Ubungo Bwana Boniface Jacob.
Baada ya siri kuvuja diwani anamsumbua huyu mama kimapenzi na wananchi kufanya mgomo kwa atakaeleetwa mpya diwani ameona aibu na kumrudisha tena mama wa usafi.
Habari zinazoongelewa kuna mama mmoja wa CHADEMA anapangwa kutaka kupewa tenda ya usafi wananchi wa Kimara Baruti, Bucha ,Korogwe wamegoma hili .Cha ajabu takataka zinajaa na diwani anaziangalia, hili jambo mlifanyie kazi.
Kama tenda amepewa na halmashauri mpige marufuku madiwani kuwaghasi wenye tenda kwa mambo yao binafsi.