Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Ndugu Meya Jacob
Kuna kiwanja cha halmashauri hapa baruti heka nane na diwani wa kwanza mh ringo alisema tunatengeneza supermarket..AKAJA Mzee wa ser za mitaa masawe nae akadai kinatengenezwa shule....NA Hospital kamaliza kaenda nae..
Sasa nafikiri ni wewe tu mwenye kuleta msimamo wa kweli kama meya. Uongozi wako una mpango gani na hiki kiwanja kinapoelekea sina imani nacho..MIAKA Zaidi ya 12 kiko ndan ya fensi Tunaamini uongozi wako imara mmejipanga.. Ushauri tu
Kama mtaweza sihaba mkaweka shule mkaweka na hospt na kituo chapolisi na kama mkiona vipi tafuteni mtu mumpe hata heka mbili atujengee hospital watu waacje kuteseka...