Bongo watu wa aina hii bado wapo?

pipikijiti

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
309
Reaction score
407
Ilitokea nigeria jiji la lagos,,,jamaa mmoja alingonga gari ambalo lilikuwa limepark na mwenye nalo hakuwepo na kulikuwa hamna watu eneo hilo alichonikanya akacha namba yake ya simu then akaondoka


Mwenye gari alifurahi na akapost Twitter
 
Wee hajajua huyo mwenye gari bora atulie tuu kiama kinamfataa. Kwanza hilo vumbi inaonesha gari imepaki hapo mahali kwa siku kadhaa, pili yawezekana kabisa huyo aliyemgonga kafanya hivo makusudi baada ya kugundua mwenye hiyo gari anatembea na mke wake na ameshagundua sasa anatafuta jinsi ya kumuanza ile chokochoko halafu akija juu amfanyizie kisha amwambie uache kutoka na demu wangu.

Laah wanajuana na alimdhulumu hivo anamtafuta ili amlipize kisasi, huko kumchuna na kuacha namba zake za simu ni kuwa nitafute vinginevyo nakuja kukugonga hukohuko ulikojificha.

Pia yaweza kuwa ni mstaarabu tuu sema alikosea akamchuna na hataki kuchuma dhambi hivo anataka amalipe.

Ila kama aliye andika hizo namba hapo nj mwanadada yawezekana anatafuta jinsi ya kumpata huyo kaka na hapo kamgonga makusudi kabisaa hehehee.

Just thinking out aloud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…