S suluketto Senior Member Joined Jul 25, 2017 Posts 147 Reaction score 55 Sep 2, 2017 #1 Wasanii wengi wa bongo wanamiliki watoto wa nnje ya ndoa hivi kw nn jaman Sent using Jamii Forums mobile app
Wasanii wengi wa bongo wanamiliki watoto wa nnje ya ndoa hivi kw nn jaman Sent using Jamii Forums mobile app
mkulu senkondo JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 1,889 Reaction score 3,620 Sep 2, 2017 #2 Kwa sababu hawataki kuoa na wanafanya tendo la ngono badala ya tendo la ndoa.
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,639 Sep 2, 2017 #3 Wanaogopa ndoa maana changamoto za huko ndoa ndoano. Mastaa wengi maisha ya kuigiza
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,160 Reaction score 72,200 Sep 2, 2017 #4 kumbe unazungumzia wasanii ila sio wote
BABA SANIAH JF-Expert Member Joined Oct 20, 2013 Posts 4,772 Reaction score 6,242 Sep 2, 2017 #5 Joseee! Umerudi mkuu! Karibu sana
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,216 Reaction score 12,604 Sep 2, 2017 #6 Ina maana atakayecoment baada ya mimi anaweza kuwa hivyo hivyo alafu hili jina kumwita mtoto wa nje mtoto wa kharam dah hili jina sio
Ina maana atakayecoment baada ya mimi anaweza kuwa hivyo hivyo alafu hili jina kumwita mtoto wa nje mtoto wa kharam dah hili jina sio
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Sep 2, 2017 #7 Mmh. Kuna maswali ya kujiuliza ila mengine hata hayastahili kwa sababu majibu wanayo wenyewe hao wasanii.
Mmh. Kuna maswali ya kujiuliza ila mengine hata hayastahili kwa sababu majibu wanayo wenyewe hao wasanii.
D Dorrlyn JF-Expert Member Joined Jan 10, 2017 Posts 1,101 Reaction score 1,516 Sep 2, 2017 #8 Wakati tunaanza kuwa wasichana bibi yetu alituambia kama unataka kizazi cha baraka tuliza miguu yako upate Mme na uzae watt ndani ya ndoa.
Wakati tunaanza kuwa wasichana bibi yetu alituambia kama unataka kizazi cha baraka tuliza miguu yako upate Mme na uzae watt ndani ya ndoa.
E ericly Member Joined Aug 31, 2017 Posts 19 Reaction score 9 Sep 2, 2017 #9 Kwasababu gharama za maisha zipo juu sana
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Sep 2, 2017 #10 Hiyo research umefanya lini?
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,102 Reaction score 2,152 Sep 2, 2017 #11 Wanaona fashion siku hizi kuzaa nje ya ndoa.