Jamani, nini cha ajabu alichokisema Jane juu ya hili? Mbona huu ni ukweli mtupu, au kwa sababu kasema 'kuchukua bwana'? Basi ujue wengi wa wale waliochukizwa na hili aidha status zao nje ni za kuoza, hivyo hawawezi kurudi bongo kushuhudia hayo au hawana fedha za kujivinjari katika nchi yetu yenye kila starehe kijana anayoi hitaji, ili mradi una uwezo kifedha. Bongo kunaogopesha sana wanaume siku hizi kama hauna fweza.....; kazeni buti, yote yanawezekana.