zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Mara ya mwisho kuwa bikra ilikuwa lini.?Hata mimi nilivyokuwa bikra nilikuwa najifanya nguli mapenzi
Mara nyingi tunachokiongea na utekelezaji vinaweza kuwa na utofauti sana....kuna watu tuna/wanajua kuchangamsha genge tu
Mara ya mwisho kuwa bikra ilikuwa lini.?
Mpe hi mzee babaThursday,10 september 2020....1400hrs
Mpe hi mzee baba
Halaf ndy hawa wanangangana kutuma maombi waajiriweWalimu wana solve kesi za mapenzi secondary? Kweli??
[emoji23][emoji23][emoji23]Thursday,10 september 2020....1400hrs
Dah! Kuna kidemu Fulani niliwahi kuwa nacho kilikua Kama wewe!Hata mimi nilivyokuwa bikra nilikuwa najifanya nguli mapenzi
Mara nyingi tunachokiongea na utekelezaji vinaweza kuwa na utofauti sana....kuna watu tuna/wanajua kuchangamsha genge tu
Exaggeration expels exactitude.Hizi habari za ‘kila mtu’ huwa mnazitoa wapi nyie?
Hata humu JF huwa mnasema eti ‘kila mtu’ wa humu ni tajiri, ana hiki na kile, yuko hivi na vile, n.k.
Hivi mnajua kweli maana ya ‘kila mtu’?
Mtu unaposema ‘kila mtu’, je, na wewe umo kwenye hiyo ‘kila mtu’?
Au wewe unayesema hivyo siyo mtu?
Dah! Kuna kidemu Fulani niliwahi kuwa nacho kilikua Kama wewe!
Yaani katoto kakianza kuzungumzia mambo Yale mtu mpaka unapagawa
Nikaamua kukatongoza duuuu! Siku ya Kula tunda kimasihala naona kanakimbilia kamba tu kwenye ulingo, mpaka kukashika nishalowa chapa chapa mijasho,kanalia Kama kisu kipo shingoni, kuja kustuka nimekata utepe, nikaona duuuh! Maneno meengi kumbe hakuna kitu.
Hizo ni phrases tu za kunogesha statementsHizi habari za ‘kila mtu’ huwa mnazitoa wapi nyie?
Hata humu JF huwa mnasema eti ‘kila mtu’ wa humu ni tajiri, ana hiki na kile, yuko hivi na vile, n.k.
Hivi mnajua kweli maana ya ‘kila mtu’?
Mtu unaposema ‘kila mtu’, je, na wewe umo kwenye hiyo ‘kila mtu’?
Au wewe unayesema hivyo siyo mtu?
Stating things commonly exhaustsExaggeration expels exactitude.
That is neither here nor there.Stating things commonly exhausts
Positivity leads to negativity and negativity leads to positivity
Uchumi unayumba bana[emoji23]Uchumi wa kati sasa umepamba moto tuongeze juhudi tufike uchumi wa juu zaidi
[emoji23][emoji23]Kwa wabongo nadhani sio mapenzi tu,Ukijaribu kuongelea afya yako mbele za watu mfano mwili sijisikii vizuri,Nina joto kali hapo hapo utasikia mtu kashakupima na majibu yako anayo utasikia hiyo maleri imeambatana na taifodi,Unayedhani hajakusikia nae sio UTI kweli hiyo.Itokee sasa useme nimeitwa polisi au nina samansi mahakamani utasikia,Aaah hapo hamna kesi kabisa Ukizungumzia dini sasa wengine kama wanene kwa lugha au wakusomee albadir kwenye soka utasikia mtu wa buza na akili zake anasema leo tupo nyumbani kumbe Man united wako Old Traford wabongo kiukweli wananikoshaga sana.