hivi ali kiba mbona mnalazimisha sana kusema ana sauti nzuri kushinda watu wengi sana ambao naona hawashindi au ndio kila mtu ana maoni yake...
Unakuta topic ni sauti nzuri na uwezo wa kuimba halafu anatajwa ally kiba... sijui ni mambo ya Team.. kuna watu ukiwataja kwa uwezo wa Sauti kila mtu atakubali kina Christian Bella, Banana Zahir Zorro, Barnaba..
Mimi kwangu ally kiba hamfikii Aslay kwa uwezo wa kuimba