Bongo movie & Bongo Fleva & Gospel jinsi walivyoweza kukuvutia katika kazi zao kiujumla

Trial balance

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
202
159
Mimi naanza na Wolper na Irene uwoya pia Lulu na Diana Kimario hawa watu wanapendeza sana wakiigiza pamoja movie inakuwa tamu sana wanavutia pia katika uigizaji kimavazi hadi uongeaji, kabla sijaanza kuangalia movie huwa napenda kuangalia wahusika nikimuona mmojawapo lazima nitaiangalia iyo movie

Upande wa gospel nina Christina Shusho na Emmanuel mgogo upande wa Bongo Fleva nampenda Jux na Ben Paul japo saizi hawanifurahishi sana uimbaji wao uchekeshaji nilimpenda Majuto (RIP).

Wasanii wetu



Je, wewe unavutiwa na nani?
 

Attachments

  • IMG_20200702_231545_857.jpg
    10.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…