Bongo movie action

Teh Teh teh teh teh teeeeeeeh the teeeeeeeh, kazi kweli kweli
 
huyo jamaa karushwa na nguma au kakwepa ngumi!
 
Mkuu naona hawa ni wanafunzi hawajawahi kupuliza hiyo pungi pungi sasa hapo ndio wamitumia na imewakolea kiukweli hadi sasa wanafanya kama igezo la kibangi au la kibongo
 
Uwiiiiiiiiii...kisa cha kubaki na hayo maboksi nini? au kulikuwa ana bwawa karibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…