F flyingcrane JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 241 Reaction score 88 Dec 7, 2014 #1 Kwa mitandao ya kijamii na runinga za Tanzania, nimeona warembo wa aina yake.. Kenya wapo lakini Tanzania naona wametuzidi kubeba malaika tena wako social sana..wana jf maoni yenu ni yapi
Kwa mitandao ya kijamii na runinga za Tanzania, nimeona warembo wa aina yake.. Kenya wapo lakini Tanzania naona wametuzidi kubeba malaika tena wako social sana..wana jf maoni yenu ni yapi
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,880 Reaction score 5,725 Dec 7, 2014 #2 Inategemea wanawake wa Tanzania unawapambanisha na wanawake wa nchi gani?
A adolay JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 12,102 Reaction score 14,499 Dec 7, 2014 #3 Mkuu kila mtu na macho yake, interest zake, tamaa zake, mapenzi nk we are not equal. wanene weusi weupe wembamba wenyemakalio makubwa wenye miili midogo wenye sura za mviringo wenyesura ndefu wenye matiti makubwa wenyematiti madogo wenye mianya wenye nywele ndefu wenye wasikuwa na nywele ndefu wanasuka wasiosuka nk nk nk nk Unachokiona nakuvutiwa nacho ni macho na mapenzi yako kila mmoja anaugonjwa wake.
Mkuu kila mtu na macho yake, interest zake, tamaa zake, mapenzi nk we are not equal. wanene weusi weupe wembamba wenyemakalio makubwa wenye miili midogo wenye sura za mviringo wenyesura ndefu wenye matiti makubwa wenyematiti madogo wenye mianya wenye nywele ndefu wenye wasikuwa na nywele ndefu wanasuka wasiosuka nk nk nk nk Unachokiona nakuvutiwa nacho ni macho na mapenzi yako kila mmoja anaugonjwa wake.
chuma cha reli JF-Expert Member Joined Jul 2, 2012 Posts 2,764 Reaction score 2,570 Dec 7, 2014 #4 Sina hakika........ivi papuchi nazo ni kigezo cha uzuri.
N nyano Senior Member Joined Mar 8, 2013 Posts 132 Reaction score 129 Dec 7, 2014 #5 chuma cha reli said: Sina hakika........ivi papuchi nazo ni kigezo cha uzuri. Click to expand... Dah mkuu papuchi tena...?
chuma cha reli said: Sina hakika........ivi papuchi nazo ni kigezo cha uzuri. Click to expand... Dah mkuu papuchi tena...?
kukumega JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 1,134 Reaction score 486 Dec 7, 2014 #6 Ngoja nitafute dem mkenya kwanza nitakuja baadae nitoe tofauti alizo nazo na dem wa kibongo.
F flyingcrane JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 241 Reaction score 88 Dec 7, 2014 Thread starter #7 Rich Pol said: Inategemea wanawake wa Tanzania unawapambanisha na wanawake wa nchi gani? Click to expand... Kutoka huku kwetu Kenya
Rich Pol said: Inategemea wanawake wa Tanzania unawapambanisha na wanawake wa nchi gani? Click to expand... Kutoka huku kwetu Kenya
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,880 Reaction score 5,725 Dec 7, 2014 #8 flyingcrane said: Kutoka huku kwetu Kenya Click to expand... Wazuri ila kwa east africa Rwanda wanatisha.
flyingcrane said: Kutoka huku kwetu Kenya Click to expand... Wazuri ila kwa east africa Rwanda wanatisha.
Walnut Creek JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 5,812 Reaction score 6,327 Dec 7, 2014 #9 Wakenya wanapenda kutoa kipigo cha mbwa kwa waume zao
madam d JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 477 Reaction score 135 Dec 7, 2014 #10 Asante waego!
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,145 Dec 7, 2014 #11 Wakenya wapo wazuri ila kitandani aslimia kubwa hakuna kitu bora bongo utafaidi
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,937 Reaction score 8,358 Dec 7, 2014 #12 Ni kwel kabisa Kenya Hamna mademu wengi wazuri.....bongo ndo mpango mzima
Hoshea JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,420 Reaction score 3,777 Dec 7, 2014 #13 lawmaina78 ya kweli haya
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 15,838 Reaction score 26,249 Dec 8, 2014 #14 Kusema kweli kweli wakenya sijaona, jamani hivi kuna miss kenya hebu kama yupo tuwekeein tumfananishe na bibi bomba wa hapa kwetu aliyevua taj
Kusema kweli kweli wakenya sijaona, jamani hivi kuna miss kenya hebu kama yupo tuwekeein tumfananishe na bibi bomba wa hapa kwetu aliyevua taj