Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
Waziri wa Madini na Nishati William Ngeleja (kulia) akimsikiliza Askofu Zakaria Kakobe nje ya Kanisa la Askofu huyo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa upitishaji wa nyaya za umeme. (Picha na Selemani Mpochi)
Serikali ya Mzee J.K inashindwa na Mtu mmoja Askofu Kakobe? ama kweli Miafrika bwana ndivyo ilivyo kazi kweli
Well said!!Kuna sheria mkuu.
Tanzania inaendeshwa kwa sheria, haimaanishi kakobe ni mbabe kuliko serikali bali Sheria inamlinda.
We unatakiwa kuomba radhi, elewa kuwa hata wao TANESCO hawawezi kukufanyia wiring nyumba yako kama umejenga karibu na nyaya hizi, sasa leo iweje wapitishe nyaya zao sehemu yenye mkusanyiko wa watu?Kakobe ana hoja, anatafuta umaarufu wa kijinga. anafikiri akiwa na waumini mainjinia wakimdanganya basi inatosha kutoa hoja.
ona sasa ameaibika............nyaya zinapita kama kawa