masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,886
- 15,101
Mambo ya sisiemu hayo mkuu.View attachment 63710
Mitaa ya Mbezi Barabara ya Kawe-Africana , jamaa nafikiri alitembea kwa muda mrefu sana akaamua kupika ugali kwenye pavement bila bugudha toka kwa mtu yeyote.
Barabara hii ukitaka mahindi ya kuchoma ndo penyewe utafikiri ukoMbinga!
View attachment 63710

Demokrasia gani hiyo ya hapo Bongo? ni uchafu wa mazingira Mkuu masopakyindi Ughaibuni hii kitu hakuna kabisa barabarani.View attachment 63710
Mitaa ya Mbezi Barabara ya Kawe-Africana , jamaa nafikiri alitembea kwa muda mrefu sana akaamua kupika ugali kwenye pavement bila bugudha toka kwa mtu yeyote.
Barabara hii ukitaka mahindi ya kuchoma ndo penyewe utafikiri ukoMbinga!
tuna maji ibao ila kitendo cha kusafisha barabara na kuondoa vumbi barabarani tu seriali sijui manispaa imeshindwa.. Mimi naweza kusema kuwa hatuna viongozi
Mambo ya sisiemu hayo mkuu.
Full amani yani.
Wangekua wale jama wa maandamano wangemwambia alipe kodi!
Mkuu Bongo kuna demokrasia ya ajabu sana maana mambo yanafanyika hadharani bila hata serikali kuchukua hatua zozote.Demokrasia gani hiyo ya hapo Bongo? ni uchafu wa mazingira Mkuu masopakyindi Ughaibuni hii kitu hakuna kabisa barabarani.