Bongo kujishika sehemu za siri

Wengine migegedo inakua ime fyatuka wakiona totoz mbele yao so wana zuia mlima usichomoze!
 
nashwindwa kuelewa ni kwann, hata Vanessa Mdee anapenda sana kushika.
 
Usisgangae hata nyimbo zao ni mapenzi tu. Hivyo wanashika huko kuenzi mashairi yanakotoka.
 
Huwa mara nyingi wanakabiliwa na kitu tunaita "Ashki majinuni"
 
Hawana lolote ni waigaji tu, wameiga kwa wacko jacko a.k.a Michael Jackson .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…