Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,733
- 4,079
Chid benz,one incredible,stereo na izo business moja ya kolabo bora sanaTurudi kwenye Old School Hip hop.
Hivi ni Collabo gani ya HIP HOP haikuwahi kufanyika hadi leo unasema, Kama ingefanyika basi ingekuwa hatari sana.
Naanza Mimi, Collabo ambazo nilitamani kuziona lakini hazikufanyika. Za HIP HOP lakini.
JOSE MTAMBO&JAY MOE.
.
AFANDE SELE&ALBERT MANGWEA
.
LANGA NA NGWEA.
.
FID Q,JOSE MTAMBO.
ONGEZA NA ZAKO...
#forgive Me
Wimbo unaitwa UNA -prof jay ft ngwairProf. Jay na Mangwair..
kama ingetokea wakafanya kolabo nahisi ingekua babkubwa..
Au kama ipo nikumbusheni
Au lile goma lake la unanifurahishaChindo yupo vizur ila kwangu naona jamaa kampiku chindo cos hua hatok nje ya mada akisema anaelezea pombe ujue mpka line ya mwisho.......
Tafuta unanifurahishaEm ntajie ngoma moja ya jcb great story telling nizame utube nw.. achana na paah
Ferouz ft prof Jay - starehe.Ebhana kuna wimbo wa kitambo kidogo ulikua unahusu ukimwi siujui jina na sio mfuatiliaji wa hiphop na bongo old ila wimbo huo ukianza unasema ilikua ni saa kumi nambili kasoro roboo maneno mengine siyajui maana nilisikia redioni ila ni wimbo fulani wa kuhamasisha watu kuwa makini na janga la ukimwi mwenye kuujua anijuze jina niudownload au niutafute kwenye library za miziki na movies
Nilishaupata unaitwa nikazeze unachekesha sana huu wa Pj naujua sanaFerouz ft prof Jay - starehe.
Jcb kijiti ngoma inanifurahisha sana ileEm ntajie ngoma moja ya jcb great story telling nizame utube nw.. achana na paah
Jcb siyo king wa storyteller napinga kabisa wapo wengi sana wamemzidi mbali wa kwanza ni dizasta vina , chindo man , p the mc , Niki mbishiKuna mtu anaitwa Jcb ndo kingi wa storyteller kwenye hiphop jamaa anauwezo mkubwa sana wa kuelezea mada hua hatoki nje ya mada kwenye ngoma zake....JCBalbam....ukisikia paah paah ujue ekukosa noma sanaaaa
JCB ft jose mtambo ......hii ndo ingekua ngoma yangu pendwa San kama wangefanya
Ukiacha mlango wazo washikaji zako ndo wezi ##jmtamb
Ili uamini hii mzee tafuta ngoma ya dizasta hatia IV ni noma kabisaKuna mtu anaitwa Jcb ndo kingi wa storyteller kwenye hiphop jamaa anauwezo mkubwa sana wa kuelezea mada hua hatoki nje ya mada kwenye ngoma zake....JCBalbam....ukisikia paah paah ujue ekukosa noma sanaaaa
JCB ft jose mtambo ......hii ndo ingekua ngoma yangu pendwa San kama wangefanya
Ukiacha mlango wazo washikaji zako ndo wezi ##jmtamb
Nina marafiki wawili bia na sigaraJcb kijiti ngoma inanifurahisha sana ile
Yeah Unaitwa Aquelina ,wa OCG ft. Juma Nature..Mchizi wangu remix.
Oya hivi "Aquelina njoo tulimalize tatizo" ni Bongo hip-hop?
Mbona juma mchopanga/jay moe mnamsahau!?Jcb siyo king wa storyteller napinga kabisa wapo wengi sana wamemzidi mbali wa kwanza ni dizasta vina , chindo man , p the mc , Niki mbishi
OukNilishaupata unaitwa nikazeze unachekesha sana huu wa Pj naujua sana
Kweli naye noma ila dizasta namkubali zaidi