EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
tulia weweeeDah,
Pole sana jamaa yangu yani umekufa kizembe hata siku ya mazishi yako utajilaum sana
Madem wote hao
Hapana situmiagiUlikula ndogo?
we jamaa boya sana aiseeNa kenyewe huko kaliko kanasema kamejiokotea embe dodo chini ya mnazi..ukute kalikosa tu sehemu ya kulala kakaamua kujilengesha kwako kisa una gari..kamekula vizuri na kunywa,kamelala vizuri na nauli kamepata,na raha ya mahaba kamepata yani huko kalipo kanakuona mzuzu kweli wewe..hahaaa
We jinsia gani?Na kenyewe huko kaliko kanasema kamejiokotea embe dodo chini ya mnazi..ukute kalikosa tu sehemu ya kulala kakaamua kujilengesha kwako kisa una gari..kamekula vizuri na kunywa,kamelala vizuri na nauli kamepata,na raha ya mahaba kamepata yani huko kalipo kanakuona mzuzu kweli wewe..hahaaa
we jamaa boya sana aisee
We jinsia gani?
kwa taarifa yako yaani siku3 nisione ID au una wivu jamaaHaahaaa we ndio boya mkuu yani kamalaya kamekupiga mchana kweupe
Nimeona ID mkuu so najua ninachosemaHuyo ni malaya kabadili mbinu tu, au labda ulifanikiwa kuona kitambulisho cha chuo?
Hiyo simu aliyokua anapiga ilikua kwenye mkoba wake.
Kuthibitisha hili, jamaa mpaka sasa ivi hajakupigia.
Akikujibu nitagWe jinsia gani?
Kuna sehemu nimesema nimepiga kavu????mtoa mada ameshaungua
Akikujibu nitag