Bonge la njia panda

Siku ya kufa nyani....
 
Hapo ni Mungu tu wa kufanya mijiza na maisha ya binaadamu ndivyo yalivyo.
 
ashike kichwa cha nyoka, aning'inie nacho hadi kwa simba. akiweke mdomoni kwa simba. amsukume simba majini.
 
Bora nipambane na huyo nyoka hapo juu,kuliko kukutana na hzo njemba hapo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…