That page can not be found, link yako.Wakuu kwema?
Kutokana na kibarua changu nakua nasafiri sana na hii inanifanya nakua nasikiliza sana muziki safarini kwa kutumia earphone au headphones au wakati nafanya jogging kila asubuhi kiasi kwamba nahisi naharibu masikio yangu sasa
Ikabidi nifanye kautafiti na kubaini kuna hizi headphone za bone conduction ambazo huingizi ndani ya sikio bali unaiweka pembeni ya sikio na vibrations za sound zinapita kwenye mifupa na kusikiliza muziki bila kuacha madhara na kuweza kusikia mambo mengine hata mtu akikusemesha
Nimezipenda hizi https://aftershokz.co.uk/prod
Nimeziagiza zipo njiani
Kuna mtu ana uzoefu nazo adadavue zaidi maana hii lugha ya malikia nayo mtihani
That page can not be found, link yako.
Mkuu nimezicheki online naona kama origin yake ni kwa Watu wenye matatizo ya kusikia,
Na high-end headphone nyingi zina mic unasikia cha kwenye headphone na Pia mtu akiongea nje unasikia.
Cheki zaidi hapa
Bone conduction headphones: Gimmick or godsend?
Bone conduction headphones have their roots in military use but are often seen at the gym too. What makes these headphones so special?www.soundguys.com
Sema ni interesting tech, nitajitahidi na mimi kutafuta moja nitest.
Hii hunitokea jf ikiwa link ina space mpaka manual uweke tag za Url.Mkuu ni kweli kabisa hizi zimetoholewa kutoka kwenye teknolojia ya watafiti wanaotengeneza teknolojia ya kuwasaidia watu wenye matatizo ya kusikia
Moja ya kampuni nguli wa kutengeneza hizi bone conduction kibiashara zaidi ni AfterShokiz
Kwa sasa wanayo kama mid range yao current ya 2020 ya bei kidogo ahueni inaitwa OpenMove kama dola 100 hivi
Kuna jamaa yuko UK nimemuagiza na tayari ameinunua yupo njiani anakuja nayo, nadhani next week ntaipata
Sijui kwanini link nikiweka zinazingua
Jaribu ku Google “AfterShokiz OpenMove review”
Ntaleta mrejesho nikiipata mkuu
Mkuu ulinunua? Leo nimebahatika kuitest, ni Earphone nzuri sana hasa kwa hio aspect ya kutoharibu masikioWakuu kwema?
Kutokana na kibarua changu nakua nasafiri sana na hii inanifanya nakua nasikiliza sana muziki safarini kwa kutumia earphone au headphones au wakati nafanya jogging kila asubuhi kiasi kwamba nahisi naharibu masikio yangu sasa
Ikabidi nifanye kautafiti na kubaini kuna hizi headphone za bone conduction ambazo huingizi ndani ya sikio bali unaiweka pembeni ya sikio na vibrations za sound zinapita kwenye mifupa na kusikiliza muziki bila kuacha madhara na kuweza kusikia mambo mengine hata mtu akikusemesha
Nimezipenda hizi https://aftershokz.co.uk/prod
Nimeziagiza zipo njiani
Kuna mtu ana uzoefu nazo adadavue zaidi maana hii lugha ya malikia nayo mtihani
Mkuu ulinunua? Leo nimebahatika kuitest, ni Earphone nzuri sana hasa kwa hio aspect ya kutoharibu masikio
Shukran mkuu, average Charge yako ni masaa mangapi?Aisee kumbe sikuleta mrejesho? 😂😂
Mkuu nilizipokea safi kabisa na hadi sasa nazitumia hazina shida
Huu ndio mtazamo wangu
👉Kuhusu quality ya sauti nadhani bado kidogo kufikia level za earphones na headphones kwenye Bass, Hakuna ile bass fulani hivi, but it’s ok
👉Zinajitahidi sana kukaa na chaji zaidi ya earphones
👉Haziumizi kabisa masikio, inakua ni kama unasikiliza mziki kwenye radio na unasikia kila kitu surrounding you
👉Zinatumia type C kuchaji
👉easy and friendly to use
👉Technology yake iko very interesting yani
Yaani hata ukigusisha kwenye fuvu la kichwa au mfupa chini ya jicho unakua unasikia utadhani zipo masikioni, ila kadiri mfupa unapokua mbali na sikio sauti inazidi kupungua
Aisee kumbe sikuleta mrejesho? [emoji23][emoji23]
Mkuu nilizipokea safi kabisa na hadi sasa nazitumia hazina shida
Huu ndio mtazamo wangu
[emoji117]Kuhusu quality ya sauti nadhani bado kidogo kufikia level za earphones na headphones kwenye Bass, Hakuna ile bass fulani hivi, but it’s ok
[emoji117]Zinajitahidi sana kukaa na chaji zaidi ya earphones
[emoji117]Haziumizi kabisa masikio, inakua ni kama unasikiliza mziki kwenye radio na unasikia kila kitu surrounding you
[emoji117]Zinatumia type C kuchaji
[emoji117]easy and friendly to use
[emoji117]Technology yake iko very interesting yani
Yaani hata ukigusisha kwenye fuvu la kichwa au mfupa chini ya jicho unakua unasikia utadhani zipo masikioni, ila kadiri mfupa unapokua mbali na sikio sauti inazidi kupungua
mfupa upi tena,mnatuchanganya aisee
View attachment 2015311
Unaona hivyo vichwa viwili? Hivyo havibani kwenye sikio bali eneo la mbele la sikio kwenye mfupa wowote, sikio lako linakuwa kama kawaida. Mziki wake unavyosikia ni kama vile unapigwa tu kwenye speaker la mbali,
Ngumu kuelezea mpaka uivae mwenyewe utaona feeling yake.
Ndo mpaka iguse mfupa mkuu sauti inasikikadah,sasa nikajua inapitisha sauti ndani ya mfupa wa kichwa[emoji1787].
asante mkuu nimeelewa.
Sijui kwanini link nikiweka zinazingua
https://www.soundguys.com/bone-conduction-headphones-20580/
👇mfupa upi tena
👇 👇................. eneo la mbele la sikio
https://www.soundguys.com/bone-conduction-headphones-20580/