Bomu la Kampuni ya Wahindi yaanikwa

Nadhani watu wa usalama watakuwa wamewaweka chini ya ulinzi hawa matapeli ili wasitoroke nchi.
 
Usalama hawakushtukia hili mapema, Mangapi yatakuwa yanafanyika..

Mbaya jamaa kashavuna za kutosha anakimbia nchi..

Kwa mwezi wanaingiza 4.Bill.. Ila wanasema wanaingiza Mil 4...

Cyprian atafutwe popote alipo apigwe nyondo ya miaka 15 jela....


Kwa upande mwingine jamaa anaweza akawa anawaharibia jina kampuni kwa maslai yake binafsi...

Ngoja tusubiri wahusika watakuja na majibu yanayo eleweka... Na sheria ifuate mkondo wake
 
Cha kushangaza serikali inapita kimyaaa ili linchi sijui ua likoje
 
Hiyo company inadaiwa billions na halmashauri ya ubungo na halmashauri nyingine hawajalipa kodi kwa muda mrefu sana za billboards zao sasa naona jamaa akiangalia nae anadai mshahara wa 5 months ameamua amwage mboga na ugali mwenyewe. CI group na masoko ni company za kitapeli na ni majizi.

Wahindi wana tabia za kuajiri Wahindi wenzao ili kufichiana ujambazi wao wa forgery na kukwepa kodi hii ni tabia ya makampuni yote ya kihindi Tanzania mamlaka husika wafanye extensive auditing kwa makampuni yote ya Wahindi Tanzania.
 
Duuh!!Ngoma imebumaaa
Haya sasa ndio maisha ya wengi wa Wahindi hapo Dsm Mjini...Ujanja ujanja na utapeli mwingiii
Wamedhurumiana,wameamua kuanikana...Safari hii haponi mtu.Bila shaka hii ni wale wa Pugu Road
Ndugu maisha ya wahindi ni ya kijanja kijanja, ndio maana hawajengi nyumba wala kujenga ofisi, wao wanarundikana tu kwenye nyumba na NHC.

Biashara nyingi za wahindi hazilipi kodi, wewe hujiulizi pale kisutu kuna wahindi wanamadukq ya kuuza kashata na tende tu miaka yote ila bado wako pale pale.
 
Mkuu tuhuma kuhusu wahindi zina uhakika 95% chumvi huwa ni kama 5%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Were you sacked? Why saying this now?
 
Huyu Cyprian anayetajwa kwenye hiyo barua ni yule Cyprian Lyimo wa CI Group!?
Wahindi ni watu wa hovyo sana. Ila awamu hii watanyooka tu. Watatafuna tambuu mpaka walegee.
 
Tatizo haya mambo huwa yanakua exposed watu wakivurugana ,kudhulumiana,kufukizana kazi,etc

Mambo yakiwa shwari huwezi sikia raia mwema anaripoti hizi habari kwa uzalendo

Maslahi yake yakiguswa ndio hujikuta wazalendo sana na kuanza kutoa siri za wakwepa kodi,wanaoishi bila vibali etc etc
 
Mlungula utapitishwa hao TRA hawatafanya lolote.
 
kuna vibarua vya watu viko matatani hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…